Hali tete wananchi kuiadhibu CCM

mchotamaji

JF-Expert Member
Sep 22, 2015
219
66
Watanzania wameamua licha ya ahadi nyingi kutoka kwa mgombea urais Bw.Magufuli.Watanzania bado wanazikumbuka ahadi hewa za Rais Kikwete za toka 2005/2010 Na 2010/2015 .Watanzania wamechoka kudanganywa kama watoto hivyo hawana imani Na ahadi lukuki zinazotolewa Na Magufuli huku Magufuli huyo huyo akiponda serikali iliopo kwa kushindwa kutekeleza ahadi hizo wakati Na yeye yumo ndani ya Serikali hiyo.Miongoni mwa ahadi hewa za CCM ni pamoja Na Mahakama ya kadhi, Meli , Viwanja vya ndege , Madeni ya Walimu Na waTumishi Wa serikali.
 
CCM chama bomu chenye mgombea makini!CDM chama makini chenye mgombea bomu!
 
Hii nimeipenda. Sasa mgombea mmoja makini anawaweza kuwabadilisha wanachama bomu milioni kadhaa au wanachama makini maelfu kadhaa wanaweza kumbadilisha mgombea bomu mmoja? Kipi rahisi? Tafakari chukua hatua.
 
Wapigwe chini tu. Maana hamna namna nyingine tena. Chama kinajifanya juries ate Pelee ndio kin a chin u a kila kitu Hata kutufikisha haha hovyo, wamedharau wosia wa wanzilishi wao. Ah, mimi nami nasema kipigwe chini tu.
 
Huyu katumwa lowassa si mbovu hata kidogo bali afya kidogo lakini ikulu hatuhitaji tyson
 
Watanzania tumebadilika sana.Km team za mpira za Ulaya,mashabikı wa Sunderland kwenye mechi ya dhıdi ya Barcelona utawakuta wanashangilia mwanzo mwisho.Huwa sına hakika km mashabiki hawa wanakuwa na tumaini la kushnda ama ni kuwapa moyo wachezaji wao.UKAWA kama SUNDERLAND!
 
Watanzania wameamua licha ya ahadi nyingi kutoka kwa mgombea urais Bw.Magufuli.Watanzania bado wanazikumbuka ahadi hewa za Rais Kikwete za toka 2005/2010 Na 2010/2015 .Watanzania wamechoka kudanganywa kama watoto hivyo hawana imani Na ahadi lukuki zinazotolewa Na Magufuli huku Magufuli huyo huyo akiponda serikali iliopo kwa kushindwa kutekeleza ahadi hizo wakati Na yeye yumo ndani ya Serikali hiyo.Miongoni mwa ahadi hewa za CCM ni pamoja Na Mahakama ya kadhi, Meli , Viwanja vya ndege , Madeni ya Walimu Na waTumishi Wa serikali.
Hili la mahakama ya mafisadi ni ahadi nyingine isiyo tekelezeka.
 
Back
Top Bottom