Hali tete Simba: Mo apaniki tena, aushinikiza uongozi uchukue hatua kwa mechi ya leo

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
20,713
45,090
Bilionea Mo ametoka ku-tweet muda si mrefu, Wana Simba mnasemaje? Hali tete

DFD480CA-609E-4F0F-9B97-F90A0DC69F24.jpeg
 
Mo Dewji ameandika katika ukurasa wake wa twitter kuwa hana nguvu ya kufanya maamuzi yoyote kwa kuwa ameshajiuzulu kuwa mwenyekiti wa bodi ya Simba SC lakini amemshauri mwenyekiti wa sasa wa bodi hiyo achukue hatua kali kwa wale wote wanaohusika na kusababisha klabu ya Simba kupoteza mchezo huo dhidi ya Jwaneng Galaxy F.C.

 
Back
Top Bottom