Hali tete Simba: Mo apaniki tena, aushinikiza uongozi uchukue hatua kwa mechi ya leo

Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
10,818
2,000
Kwa Uyanga wangu nimeshangazwa sana na wachezaji wa Simba kucheza na MAJUKWAA ilihali wangeingia katika makundi wangekuwa na mechi nyingi za kuonyesha uwezo wa mchezaji mmojamoja......

Mpira ni mchezo wa "mental strength"....watani wetu walijikwaa katika hilo.....

Poleni watani wetu!

#1935ForEver
 

pakao

Senior Member
Jan 7, 2014
130
250
Unapoteza muda kuandika ushuzi hii ni chuki siyo analysis ,rudia kusoma hii ndio ujue ulvyo mediocre, hata simba ingeuza wachezaji wote gemu ilivyokuwa leo sio ya kupoteza
Mwamedi bhana....

Benchi la ufundi lote ni wewe na demu wako ndo mmehusika

Wachezaji wote, ni wewe na demu wako ndo mmehusika....

Mmeenda Morroco, hamkushinda hata mechi moja, ikiwa hata ile mliyocheza na timu isiyo ligi kuu

Mmerudi Bongo, mkalaa kimoja na Mazembe, mkatiwa kingine na Dar es salaam Young Africans... kote huko ulikuwepo!!!

Ligi kuu mkaanza na sare mkasingizia eti mnakamiwa kwavile timu zinaadiwa pesa...

In short, No Konde and Chama, No Makolo!!!

On Top of That, Makolo sio timu kubwa fAfrika kama mnavyowadanganya mashabiki wenu ambao Rage aliwahi kusema kwamba ni Mbumbumbu!!

Yaani kufika 1/4 mara mbili tu, ndo mshajiona Zamalek fulani hivi...
 

permanides

JF-Expert Member
May 18, 2013
6,705
2,000
Ikiwapendeza jina la makolo ni bata, shabiki wao kaeleza wazi
 

Imeloa

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
8,572
2,000
Who does Mohammed think are responsible for the today's debacle? Let Mo not look for flimsy excuses because Simba have been beaten well and proper, thorough and square.

With Simba's shambolic defending, only miracle is what could have saved them from suffering a humiliating defeat but even miracle, was too elusive today.

So let Mohammed stop looking for the scapegoats, Simba were the second best and they got what they deserved.
 

ngajapo

JF-Expert Member
Jun 3, 2012
883
1,000
Tapeli huyu!!! Kwani ile bilioni 20 inasemaje. Kauza wachezaji wazuri waliofikisha Simba mbali halafu anajifanya hajui kinachoendelea. PUMBAVU!!!
ndugu!! mimi si mtoto wa kikopo kama unavoandika kwenye keybody yako. hata hivyo it's ok ukinitukana sio mbaya ni kawaida kwenye platform yetu hii ya jamii forums kutukana pale unapokuwa umepokea message tofauti na ulivotegemea..ila usikimbilie kutukana wazazi bro... hawapo kwenye hii platform.. tutakuwa hatuwatendei haki.. usipaniki uwe mvumilivu mkuu!!
 

chilonge

JF-Expert Member
Dec 23, 2014
984
1,000
Saikolojia ya wachezaji ndio imeihukumu timu leo. Hatuna haja ya kutafuta mchawi.

Wachezaji,viongozi na hata mashabiki wote waliona Simba ameshavuka na leo anakamilisha ratiba. Hilo ni funzo thabiti kwa maendeleo ya timu ya Simba.

Mechi huchezwa kwanza kichwani halafu ndio uwanjani. Kichwani wachezaji wa Simba waliamini wao ‘washafuzu’ na kiwanjani wakacheza kwa ‘Madaha’. Matokeo tumeyaona. Hata Taifa Stars nao ndio aina ya makosa ambayo huyafanya.
 

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,997
2,000
Wewe uanze kunitusi kwa kuniita kichaa, mimi nikirudisha mapigo NONGWA!!!

ndugu!! mimi si mtoto wa kikopo kama unavoandika kwenye keybody yako. hata hivyo it's ok ukinitukana sio mbaya ni kawaida kwenye platform yetu hii ya jamii forums kutukana pale unapokuwa umepokea message tofauti na ulivotegemea..ila usikimbilie kutukana wazazi bro... hawapo kwenye hii platform.. tutakuwa hatuwatendei haki.. usipaniki uwe mvumilivu mkuu!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom