Hali Tete: North Korea wavamiwa na Corona Virus

Acheni porojo za kahawa hapa huo ujonjwa unatokana na tabia zao za kupenda kula hovyo.
Kama ni marekani basi hawatakii mema washirika wake maana japan na S. Korea wamesha hathirika na huu ugonjwa.
Ni aibu kwa tz kuwa na wasoni wenye mawazo mgando kama nyinyi.
Bora umewachana ukweli!!

Yaani mtu ale popo kwa raha zake alafu akiumwa lawama anapewa Marekani.
 
Sina uhakika na wala sijui wala kuelewa wala kufahamu yakwamba huu ugonjwa ni made in US ama Ni MUUMBA Mwenyewe
ila shida wanaoumia ni wananchi wa kawaida.
Ila Linapotokea Suala La Maslahi US Hua Haangalii Kina Nani wataumia Ama Kufa Anachoangalia Yeye Nimaslahi Yake Tu Kama Ili apate maslahi yake nilazma watu wafe basi US nawamagharibi hawatajalu wacheni Mufe tu ili wao wapate maslahi yao ndilo wanalolijua nakuliangalia

US Kwahili Sina Hakika Kama Lao Ama Nn Ila Wajamaa Wauaji Sana Unahisi Hawakujua Kama Baada Ya Vita Za IRAQ LIBYA na Kwengineko Yakwamba Baada Ya Vita Wataumia Watu wasohatia ?!.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina uhakika na wala sijui wala kuelewa wala kufahamu yakwamba huu ugonjwa ni made in US ama Ni MUUMBA Mwenyewe Ila Linapotokea Suala La Maslahi US Hua Haangalii Kina Nani wataumia Ama Kufa Anachoangalia Yeye Nimaslahi Yake Tu Kama Ili apate maslahi yake nilazma watu wafe basi US nawamagharibi hawatajalu wacheni Mufe tu ili wao wapate maslahi yao ndilo wanalolijua nakuliangalia

US Kwahili Sina Hakika Kama Lao Ama Nn Ila Wajamaa Wauaji Sana Unahisi Hawakujua Kama Baada Ya Vita Za IRAQ LIBYA na Kwengineko Yakwamba Baada Ya Vita Wataumia Watu wasohatia ?!.....

Sent using Jamii Forums mobile app

Hamna serikali dunia hii ambayo haiangalii maslahi yake kwanza na bila kujali wengine, hata hao waarabu wenu ndivyo walivyo.
 
The problem is all about language,where have you seen that I'm making a comparison ,the concept of my post was to ignore westerners on how they tend to portray the issue of NK by feeding the majority false information about real life of NK dwellers.
Mkuu kwani kuna aliyelinganisha Uwezo wa N/k wa kukabiliana na KORONA na nchi za Africa?.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kile kibaba kiache kiburi jamani, mimi nilijua amejikamilisha kila kitu ndio maana jeuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Haaaa dear hamna nchi wana tabu kama ile hata Tanzania tunaishi vizuri

Js google documentaries abt life in North Korea...u will be shocked!! Hata satelite images za usiku tu utaona hawana umeme...almost nchi nzima
I am still shocked..hii corona ndo watakufa vibaya kabisa Mungu awasaidie tu
 
The problem is all about language,where have you seen that I'm making a comparison ,the concept of my post was to ignore westerners on how they tend to portray the issue of NK by feeding the majority false information about real life of NK dwellers.

Sent using Jamii Forums mobile app
Westerners wanaweza kuwa wanafeed some wrong info
Ila mambo si mazuri hata kidogo ile nchi i tell you
Google tu NorthKorea at Night u wl be shocked

Bado ukisimuliwa maisha yao utachoka kabisaa
 
Sio kweli.
... WHO wanasemaje? [Source: https://www.who.int/news-room/fact-sheets/detail/middle-east-respiratory-syndrome-coronavirus-(mers-cov)]

  • Middle East respiratory syndrome (MERS) is a viral respiratory disease caused by a novel coronavirus (Middle East respiratory syndrome coronavirus, or MERS‐CoV) that was first identified in Saudi Arabia in 2012.
  • Coronaviruses are a large family of viruses that can cause diseases ranging from the common cold to Severe Acute Respiratory Syndrome (SARS).
  • Typical MERS symptoms include fever, cough and shortness of breath. Pneumonia is common, but not always present. Gastrointestinal symptoms, including diarrhoea, have also been reported. Some laboratory-confirmed cases of MERS-CoV infection are reported as asymptomatic, meaning that they do not have any clinical symptoms, yet they are positive for MERS-CoV infection following a laboratory test. Most of these asymptomatic cases have been detected following aggressive contact tracing of a laboratory-confirmed case.
  • Approximately 35% of reported patients with MERS-CoV infection have died.
  • Although most of human cases of MERS-CoV infections have been attributed to human-to-human infections in health care settings, current scientific evidence suggests that dromedary camels are a major reservoir host for MERS-CoV and an animal source of MERS infection in humans. However, the exact role of dromedaries in transmission of the virus and the exact route(s) of transmission are unknown.
  • The virus does not seem to pass easily from person to person unless there is close contact, such as occurs when providing unprotected care to a patient. Health care associated outbreaks have occurred in several countries, with the largest outbreaks seen in Saudi Arabia, United Arab Emirates, and the Republic of Korea.
 
Hizo ni habari za kusadikia kwa sababu hakuna udhitisho kutoka chombo cha habari cha kuaminika.
 
Kuangalia maslahi mhim sana
Hamna serikali dunia hii ambayo haiangalii maslahi yake kwanza na bila kujali wengine, hata hao waarabu wenu ndivyo walivyo.
Ila kuua ndio shida halafu ishu wala sio waarabu wala wachina ingekua kama ishu waarabu ningekua pro saudia sana ila kwa nn nili yalaani na naendelea kuyalaani mpaka kesho mauaji ya jamal ?!...

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Yaani propaganda mbaya sanaa kiukweli
Haaaa dear hamna nchi wana tabu kama ile hata Tanzania tunaishi vizuri

Js google documentaries abt life in North Korea...u will be shocked!! Hata satelite images za usiku tu utaona hawana umeme...almost nchi nzima
I am still shocked..hii corona ndo watakufa vibaya kabisa Mungu awasaidie tu
Nchi ambayo inajishughulisha na masuala ya nyuklia iwe na shida na dhiki na umeme pole sanaa

Inawezekana ikawa kweli hawana umeme ila sio kutokana na kushindwa kuuzalisha ama kwa umaskini waliokua nao

Achaneni na propaganda....

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Kuangalia maslahi mhim sana Ila kuua ndio shida halafu ishu wala sio waarabu wala wachina ingekua kama ishu waarabu ningekua pro saudia sana ila kwa nn nili yalaani na naendelea kuyalaani mpaka kesho mauaji ya jamal ?!...

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app

Kila serikali dunia hii ina kundi la siri la "wasiojulikana", hilo lipo kote hata kwa Iran. Kazi yao kuvizia na kuua yeyote anayekwamisha jitihada za uongozi.
 
The problem is all about language,where have you seen that I'm making a comparison ,the concept of my post was to ignore westerners on how they tend to portray the issue of NK by feeding the majority false information about real life of NK dwellers.

Sent using Jamii Forums mobile app
NUKUU:
*yes I can accept that Nk has already been invaded by the COVID-19 but I can't accept that the country is so back to fail even to fight the disease compared to African COUNTRIES*.

NB: HII LUGHA YA MAJAHAZI WENGINE TUNAITUMIA KUTONGEZEA VITOTO VYA SAINT KAYUMBA tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You quoted where wasnt a key point,my concerns were to argue the false info.provided by western countries about NK
NUKUU:
*yes I can accept that Nk has already been invaded by the COVID-19 but I can't accept that the country is so back to fail even to fight the disease compared to African COUNTRIES*.

NB: HII LUGHA YA MAJAHAZI WENGINE TUNAITUMIA KUTONGEZEA VITOTO VYA SAINT KAYUMBA tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom