Hali Tete: North Korea wavamiwa na Corona Virus

Kile kibaba kiache kiburi jamani, mimi nilijua amejikamilisha kila kitu ndio maana jeuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hivyo mkuu unaamini hawana pesa ya dawa wakati wanawekeza pesa kibao ya miradi ya silaha?
Watu wababe kama wale hujali sana huduma za afya za watu wao wanaogopa uasi.

Propaganda za adui wake zinatulisha taarifa za uongo kwa malengo flani.
 
Zaidi nikiona nikisikia kuhusu corona nazidi kuumia , China wamegoma kuntumia kamzigo changu mpaka March mwishoni au ndo kusubiri mpaka nichoke , Na hela wamegoma kurudisha
 
Back
Top Bottom