Kumbe kabla ya kutoa hotuba alikuwa anajidunga kwanza halafu anaanza dibajiMzee alikua anaelewa mambo.
HahahaaKumbe kabla ya kutoa hotuba alikuwa anajidunga kwanza halafu anaanza dibaji
Rais mwenyewe akisikia au kuona hivyo ndi anashangilia na kucheka, bila kujua bajeti yake inategemea hizo pombe baada ya bandari kukimbiwa na vijana wake wengi wanaajiriwa kuwa mabaamedi na wakaanga chipsi, wachoma nyama wakishapata divisheni 4 na digrii uchwara kwenye mashule na mavyuo yao yasiyo na viwango....huo ndio upeo wa rais wetu na watanzania anaowaongoza
yaan wanashangilia wasichokijua mtu mwenye mtaji wa bil 100 na mwenye laki tano...uchumi ukibana mwenye bil 100 anafunga tu biashara na kuhama nchiHapo watachekelea eti mafisadi wamekomeshwa, sijui ni akili za wapi hivo, hawajui wengi wamefunga biashara zao
Jamani ni kweli. Najua marafiki zangu wamefunga groceries zao kisa hakuna wateja na muda wa kunywa umepunguzwa hadi saa 6 tu kwa siku. Hawana fedha za kuwalipa madada wanaowauzia ambao nayo ni ajira yao. Sasa wanaenda kujiuza cheap huko nako wateja hamna ukimpata ni asiyehitaji kondomu. Majanga!
hii sio dubaiHivi dadangu nchi kama libya na Dubai uchumi wao ulitegemea pombe?
Usipanic brother, kwanza jiulize kwa nini bar nyingi sasa hivi wanalalamika hakuna wateja, ndio upanic brotherWewe lofa sana. Kwahiyo bar sio sehem ya ukuaji wa uchumi. Yan CCM mnapoor mentalities of thinking beyond comprehension. Mji wa Las Vegas ni kati ya miji duniani inayoongoza kwa starehe. Kiac cha pesa inachoingiza Las Vegas kwa mwaka inaweza kusustain budget ya Tanzania miaka 12.
Mnadhani watu wanataka kufanya kazi kama punda. Starehe ni sehemu ya maisha. Watu wanahustle wapate pesa wale bata sio kuish kama mashetani bhna.
Naomba ufatilie Financial Report ya TBL itakayotoka mwaka huu utaona Mchango wa TBL katka GDP utakavyokuwa unepungua kwa kasi.
Hiv unajua maana ya kupanic?Usipanic brother, kwanza jiulize kwa nini bar nyingi sasa hivi wanalalamika hakuna wateja, ndio upanic brother
tatizo ni pesa hakuna mkuu na sio sababu nyingine tenaNchi sasa inaanza kumjuwa mungu kuwa pombe ni chukizo kwa bwana. Tufanye kazi pesa itusaidie sio kunywa pombe Mara toroka uje bar hapana watu walale kwa wamke kwao na akili timamu nchi ijengwe
hii sio dubai
nambie pengine me sijui maana ya kupanicHiv unajua maana ya kupanic?
Ni heri sasa wamrudie mungu,na kupunguza kusambaziana virusi!
Kuna source nyingi za kodi ni suala ya kuwa na open mind tuu mkuu.Hizo fedha mtapata wapi ilhali mlikuwa mnategemea hizo baa kupata kodi?
Wee kuvunjwa kwz ikuta tar 1 /9 bado inakuumaRais mwenyewe akisikia au kuona hivyo ndi anashangilia na kucheka, bila kujua bajeti yake inategemea hizo pombe baada ya bandari kukimbiwa na vijana wake wengi wanaajiriwa kuwa mabaamedi na wakaanga chipsi, wachoma nyama wakishapata divisheni 4 na digrii uchwara kwenye mashule na mavyuo yao yasiyo na viwango....huo ndio upeo wa rais wetu na watanzania anaowaongoza