Sir M.D.Andrew
JF-Expert Member
- Jul 30, 2012
- 201
- 37
Katika hali isiyokuwa ya kawaida,uongozi mgodi wa bulyanhulu kahama umewafukuza kazi wafanyakazi wake na kufuta vitambulisho vyao,kadhalika mgodi umetoa nafasi ya mwisho kwa waajiriwa wanaotaka kufikiriwa kuingizwa kwenye ajira kusaini fomu maalum ya kukiri kutokujihusisha na mgomo siku zijazo,pia mgodi umewashutumu wafanyakazi hao kuwa kugoma ni kuiletea hasara kampuni kwa kosa lisilo lao,zaidi mgodi umeongeza ulinzi wake baada ya wanajeshi 80 kutoka canada kuwasili leo kwa ndege binafsi ya kampuni