Elections 2010 hali tete mbozi magharibi!

TGS D

Senior Member
Aug 3, 2010
114
13
mabomu ya machozi,maji ya kuwasha,askari watawala katika mitaa ya mji wa vwawa jimbo la mbozi magharibi.watu hawaonekani mitaani na maduka yamefungwa,askari wanalipua mabomu mtaa kwa mtaa kwa wanachodai kuwatawanyisha wafuasi wa chadema wanaodai kutangazwa matokeo baada ya kuyasubiri muda mrefu bila kupata jibu lolote.
 
Wananchi wapenda haki msikubali kudhulumiwa wala kutishwa na mabomu. Ni vizuri askari nao wakafahamu kuwa ni raia maana watastaafu siku moja waona adha wanazowasababishia wananchi kwa kugeuzwa mbwa wa mafisadi. Kwanini polisi wetu wanajirahisi hivi wakati wao hali zao ni mbovu kuliko hata zetu wananchi? Sipati picha mafisadi kama Lowassa, Rostam, Chenge na baba lao Njaa Kaya wanavyochekelea mateso ya watu wetu.
 
wale wa kuwapiga mabomu hawapigi wanwapiga hawa maskini z mungu............................................tz kwishnei
 
Mimi nawashangaa hao mapolisi wanaokubali kuwapiga mabomu maskini wenzao kwa kukubali kutumwa na mafisadi
 
Back
Top Bottom