Hali Tete Maisha Kilosa Chanzuru kijiji cha Mfuruni na Idete

kasindaga

Senior Member
Sep 6, 2013
165
165
Tangu nchi ipate Uhuru hawajawahi kumwona Mkuu wa Wilaya,Umeme,hosptali Wala barabara.Vijiji hivyo ni tegemeo la mazao ya maharage,viazi,ndizi nk.Serikali kupitia Rea na SUMA Jkt wanapelekewa umeme nguzo na transformers zinabebwa kichwani na vifuani.Jamani weka barabara
IMG_20210809_112412_686.jpg
IMG_20210809_074034_588.jpg
IMG_20210521_100021_977.jpg
IMG_20210504_170711_029.jpg
 
wakati nyerere anapambana kukusanya watu,ili iwe rahisi kufikisha huduma za maendeleo kwenye kila kundi la watu,bado kuna mabaharia waljitenga kwenda chimbo zaidi na kuanzisha miji mingine.

leo hii ni haki ya kila mtz kupata huduma muhimu,lakini gharama zake ni kubwa mno kuzifikisha kila sehemu.

inabidi kampeni ianze upyaaaa.either watu wafuate huduma muhimu zilipoishia,au wakusanywe sehemu ambapo zitaishia.inchi bado sana hii,ni uongo kusema vijiji laki kadhaa hivyo vitafikiwa na huduma hizo kwa wakati.
 
J
Tangu nchi ipate Uhuru hawajawahi kumwona Mkuu wa Wilaya,Umeme,hosptali Wala barabara.Vijiji hivyo ni tegemeo la mazao ya maharage,viazi,ndizi nk.Serikali kupitia Rea na SUMA Jkt wanapelekewa umeme nguzo na transformers zinabebwa kichwani na vifuani.Jamani weka barabaraView attachment 1925335View attachment 1925336View attachment 1925337View attachment 1925338
Alaa

Khaaaaa! Kama kibakwe vile
 
Una utani na mbunge wa kibakwe? Nimemuona hapo Mombasa gongolamboto! Nitamstua ninaporudi akutafute!
Anitafutie nini miye! itakuwa vema ukiwa shtua TANROADS na TARURA kuwa barabara ya Mpwapwa Kuanzia round about ya KONGWA HADI KIBAKWE NI MBAYA MNOOOOOO!!!!
 
Sasa kijiji kizima mnakaa familia 5, jamani, tutumie bilioni 100 kupelekea familia 5 barabara? Kaeni kwa kujikusanya walau muwe wengi ili iwe rahisi kuwaletea huduma kwa pamoja...
 
Kuna familia 450 na ndio wapiga kura.Familia hizo zinalisha Kilosa na Morogoro-mihogo,ndizi, alizeti,pili pili,nyanya, maharage, nguruwe,kuku,mbao,tangawizi, warembo....
 
Back
Top Bottom