Hali tete kwa CHADEMA kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2015

Umerudi na ndoto za alinacha, Mangula kama angekuwa na heshima sana Iringa asingeshindwa kwenye uteuzi wa mwenyekiti wa nyinyiemu mkoa na Deo Sanga, akaishiwa kuteuliwa agombee pamoja na kivuli kwenye nafasi ya umakamu m/kiti which ended in a fallacy kwamba kapata 100% kitu kisichowezekana popote pale isipokuwa kwa wezi walokubuhu nyinyiemu
 
Ritz,

Propaganda machine ya CCM................. Hivi yule mwajiliwa mwenzio mwanadada (jina limenitoka maana sijamuona mtaandaoni siku nyingi mno) ameishia wapi............ Naona umebaki pekeyako huna mtu wa kushauriana naye!!!
 
Inawezekana siasa za Tanzania umeanza kuzifuatilia juzi...kwa kukumbusha tu Kinana ndio aliyekuwa anaongoza kamati ya kitaifa ya kampeni za CCM 1995, 2000, 2005, 201O, Na zote CCM walishinda... Unaulizia uraia kwa mtu ambaye ameshikuwa Waziri wa Ulinzi. Ni kituko cha kitaifa.

haya sasa Molemo unaona haya mambo?!
 
Nadhani mkuu Ritz umeweka mada hii kwa kuwa tu utakacho ni kuwajengea hofu wanachadema,na hii inatokana na uzoefu wako kuwa watz ni waoga sana.Lakini naona kama umesahau kuwa watanzani wa leo ni tofauti sana na watanzania wa zamani na hasa enzi za chama kimoja,mpango wenu wa kutaka kuendelea kuwa MADARAKANI TUNAUJUA,tunatambua kumrudisha Kinana na Mangula ktk safu ya uongozi ni kutaka kujihakikishia kuendelea kula na hsa kwa kuwaaminisha watanzania kuwa wazee hao wanahistoria njema ya utumishi ndani ya chama chenu na pia ktk serikali.Hili halibadilishi ukweli juu ya mstakbali wa nchi hii na hasa kwa mazingira ya sasa.

Kila mwenye nia njema na taifa hili hawezi kurudi nyuma hasa pale anapohitaji mabadiko na hili linajidhihirisha sana huku site,watu bado wanaamini maisha bora yataletwa na chama makini cha chadema.L
Na huu ugonjwa mliouputa wa kila mkifanya jambo kusubiri chadema watasema nini ni mbaya kwa kuwa inaonesha dhahiri bado hamjiamini ktk mipango na mikakati yenu.Chadema wanatumia akili na hawasubiri CCm wafanye jambo fulani ili wao waige,huku ni kuumiza vichwa na ubunifu umepewa nafasi kitu ambacho CCM hakipo,so uwezo wa kuchukua dola hauwezi kuwa garanteed mpaka watz wapige kura lakini fahamu kuwa chadema pia ina mtaji wa wanachama waaminifu na bado tunaendelea kujenga mtaji.

Lakini kwakuwa malengo ya chadema ni kuchukua dola na ccm ni kuendelea kuongoza basi tusubiri muda uamue nani ni nani ila Uteuzi wa kinana na Mzee mangula haujaleta tishio lolote kwa uhai wala uwezo wa chadema kuchukua dola mwaka 2015.Tuwajibike kuwapa watanzania yale wanayohitaji toka kwetu.
 
Last edited by a moderator:
Wag'wise, WABHEJASANA,
Sina uhakika ni kiongozi gani jasiri aliyebakia ndani ya Chadema wa kutoa wazo la kujenga ofisi walau za mkoa na wilaya mbele ya Mbowe, baada ya chama hicho kumpoteza Chacha Wangwe katika mazingira yenye utata.
 
Last edited by a moderator:
Ni sawasawa na ufikirie eti ujio wa Thiery Henry Arsenal, basi hali ya Manchester Utd, Manchester City na Chelsea ni mbaya sana!!!
 
Wanabodi.

Kuingia kwa Abdulrahaman Kinana na Philip Mangula katika timu ya uongozi wa CCM, kunasafisha kabisa matumaini ya Chadema kuingia Ikulu ifikapo mwaka 2015. Ni jambo lililo wazi Kinana, heshima aliyojijengea mkoani Arusha na mikoa mingine ya kaskazini, kila Mtanzania mkweli anajua.

Heshima aliyojijengea Mangula Iringa na mikoa mingine ya Nyanda za Juu Kusini, kila Mtanzania mkweli anajua. Kutokana na sababu hizo kiongozi au mwanasiasa yeyote makini ndani ya Chadema, atakubaliana na ukweli kwamba chama hicho sasa hakitakuwa na chake tena kanda ya kaskazini na nyanda za juu kusini mwaka 2015.

Chadema kama ina viongozi wanaona mbali wanaweza wakaanza kuitumia ruzuku wanaoipata sasa kwa umakini wa hali ya juu, ikiwa ni pamoja na ruzuku hiyo kutumika kujenga vitega uchumi vya baadae vya chama hicho baada ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2015, cha hicho hakitapata tena ruzuku. Hakuna kipindi kigumu ambacho Chadema itapitia kama kipindi hicho kwenye historia ya chama hicho.

Pamoja na kwamba hakuna kiongozi yeyote ndani ya Chadema anayeweza kwenda kinyume na amri ya Mbowe kuhusu matumizi ya ruzuku ya chama hicho, lakini mwelekeo wa sasa utakuwa tofauti, Chadema sasa wana hiyari ama kuacha hazina ya ruzuku yao kidogo kutoka serikalini inayopatikana sasa iendelee kuboresha maisha ya viongozi na familia zao, au waseme hapana, sasa tuanze kujenga ofisi za chama chetu kila mkoa na wilaya ili pindi ruzuku hiyo itakapopungua baada ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2015 walau chama kibakiwe na ofisi.

Mbowe na Dr Slaa sidhani kama watakubali wazo hilo lenye maana moja ya kupunguza maisha yao kifahari waliyonayo sasa hawatakubali kuona wanaachana na mipango yao ya kujiwekea hazina ya baadaye ya maisha ndani ya chama ambayo haitakuwa na ruzuku.

Mangula vile vimemo vyake vya kwenda kujichotea mihela ya EPA!...
Tuna msamehe?
 
wanabodi.

Kuingia kwa abdulrahaman kinana na philip mangula katika timu ya uongozi wa ccm, kunasafisha kabisa matumaini ya chadema kuingia ikulu ifikapo mwaka 2015. Ni jambo lililo wazi kinana, heshima aliyojijengea mkoani arusha na mikoa mingine ya kaskazini, kila mtanzania mkweli anajua.

Heshima aliyojijengea mangula iringa na mikoa mingine ya nyanda za juu kusini, kila mtanzania mkweli anajua. Kutokana na sababu hizo kiongozi au mwanasiasa yeyote makini ndani ya chadema, atakubaliana na ukweli kwamba chama hicho sasa hakitakuwa na chake tena kanda ya kaskazini na nyanda za juu kusini mwaka 2015.

Chadema kama ina viongozi wanaona mbali wanaweza wakaanza kuitumia ruzuku wanaoipata sasa kwa umakini wa hali ya juu, ikiwa ni pamoja na ruzuku hiyo kutumika kujenga vitega uchumi vya baadae vya chama hicho baada ya uchaguzi mkuu mwaka 2015, cha hicho hakitapata tena ruzuku. Hakuna kipindi kigumu ambacho chadema itapitia kama kipindi hicho kwenye historia ya chama hicho.

Pamoja na kwamba hakuna kiongozi yeyote ndani ya chadema anayeweza kwenda kinyume na amri ya mbowe kuhusu matumizi ya ruzuku ya chama hicho, lakini mwelekeo wa sasa utakuwa tofauti, chadema sasa wana hiyari ama kuacha hazina ya ruzuku yao kidogo kutoka serikalini inayopatikana sasa iendelee kuboresha maisha ya viongozi na familia zao, au waseme hapana, sasa tuanze kujenga ofisi za chama chetu kila mkoa na wilaya ili pindi ruzuku hiyo itakapopungua baada ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 walau chama kibakiwe na ofisi.

Mbowe na dr slaa sidhani kama watakubali wazo hilo lenye maana moja ya kupunguza maisha yao kifahari waliyonayo sasa hawatakubali kuona wanaachana na mipango yao ya kujiwekea hazina ya baadaye ya maisha ndani ya chama ambayo haitakuwa na ruzuku.

the only point which i realized from this thread is just a matter of name dropping in a ridiculous way

(a)kinana + mangula vs (b)mbowe + slaa,,

well,,but mind you that,between those two sides

side b is the only side which we are hoping and trusting for the best..

Besides,,uzuri au ubaya wa kinana na mangula sio kipimo cha kuhalalisha uwepo wa ccm na kuendelea kwao kuiangamiza nchi hii..
 
mimi nadhani kama ungeweza kurikiri mbele kidogo tuu ya maiti ungeweza kujua kuwa hao wazee ni mvinyo wa zamani kwenye chupa mpya.yani hawana msaada wa maana wanaoweza kuutoa kwa ccm.unapaswa kutambua kwamba record za utendaji za hao wazee wako waliziweka katioka kipindi ambacho upinzani haujakuwa wala kujipambanua kama ilivyo leo.yani wana record nzuri lakini zisizoweza kuisaidia ccm kwa sasa.subiri utaona.
 
Wanabodi.

Kuingia kwa Abdulrahaman Kinana na Philip Mangula katika timu ya uongozi wa CCM, kunasafisha kabisa matumaini ya Chadema kuingia Ikulu ifikapo mwaka 2015
. Ni jambo lililo wazi Kinana, heshima aliyojijengea mkoani Arusha na mikoa mingine ya kaskazini, kila Mtanzania mkweli anajua.

Heshima aliyojijengea Mangula Iringa na mikoa mingine ya Nyanda za Juu Kusini, kila Mtanzania mkweli anajua. Kutokana na sababu hizo kiongozi au mwanasiasa yeyote makini ndani ya Chadema, atakubaliana na ukweli kwamba chama hicho sasa hakitakuwa na chake tena kanda ya kaskazini na nyanda za juu kusini mwaka 2015.

Chadema kama ina viongozi wanaona mbali wanaweza wakaanza kuitumia ruzuku wanaoipata sasa kwa umakini wa hali ya juu, ikiwa ni pamoja na ruzuku hiyo kutumika kujenga vitega uchumi vya baadae vya chama hicho baada ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2015, cha hicho hakitapata tena ruzuku. Hakuna kipindi kigumu ambacho Chadema itapitia kama kipindi hicho kwenye historia ya chama hicho.

Pamoja na kwamba hakuna kiongozi yeyote ndani ya Chadema anayeweza kwenda kinyume na amri ya Mbowe kuhusu matumizi ya ruzuku ya chama hicho, lakini mwelekeo wa sasa utakuwa tofauti, Chadema sasa wana hiyari ama kuacha hazina ya ruzuku yao kidogo kutoka serikalini inayopatikana sasa iendelee kuboresha maisha ya viongozi na familia zao, au waseme hapana, sasa tuanze kujenga ofisi za chama chetu kila mkoa na wilaya ili pindi ruzuku hiyo itakapopungua baada ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2015 walau chama kibakiwe na ofisi.

Mbowe na Dr Slaa sidhani kama watakubali wazo hilo lenye maana moja ya kupunguza maisha yao kifahari waliyonayo sasa hawatakubali kuona wanaachana na mipango yao ya kujiwekea hazina ya baadaye ya maisha ndani ya chama ambayo haitakuwa na ruzuku.

Mkuu hivi unakijua kiswahili vizuri? Mbona hata unachokiandika hakiendani na malengo yako ya thread? By the way kinana hana lolote mana hao wabunge walio chadema walipatikana kipindi kinana akiwa yupo, hajazaliwa leo.
 
Inawezekana siasa za Tanzania umeanza kuzifuatilia juzi...kwa kukumbusha tu Kinana ndio aliyekuwa anaongoza kamati ya kitaifa ya kampeni za CCM 1995, 2000, 2005, 201O, Na zote CCM walishinda... Unaulizia uraia kwa mtu ambaye ameshikuwa Waziri wa Ulinzi. Ni kituko cha kitaifa.

Kwa hiyo wale waliuliza uraia wa Generali Twaha Ulimwengu na wakati alikua ameshashika nyadhifa mbalimbali serkalini nao walikua wanafanya Kituko cha kitaifa??
Noted!!
 
Wag'wise, WABHEJASANA,
Sina uhakika ni kiongozi gani jasiri aliyebakia ndani ya Chadema wa kutoa wazo la kujenga ofisi walau za mkoa na wilaya mbele ya Mbowe, baada ya chama hicho kumpoteza Chacha Wangwe katika mazingira yenye utata.

Kwani hata mbowe mwenyewe unamuona anasema lolote wameshamchanganya ndio maana amesema anataka aachane na siasa za CHADEMA!!!!!!!!
 
Ritz Pole jamani kwa mawazo finyu na fikira mbaya ya ufisadi unaokusumbua kichwa chako!

zomba Rejao mnusuruni mwenzenu kwa kumpa mawazo ya kusoma alama ya nyakati!
 
Last edited by a moderator:
Wanabodi.

Kuingia kwa Abdulrahaman Kinana na Philip Mangula katika timu ya uongozi wa CCM, kunasafisha kabisa matumaini ya Chadema kuingia Ikulu ifikapo mwaka 2015. Ni jambo lililo wazi Kinana, heshima aliyojijengea mkoani Arusha na mikoa mingine ya kaskazini, kila Mtanzania mkweli anajua.

Heshima aliyojijengea Mangula Iringa na mikoa mingine ya Nyanda za Juu Kusini, kila Mtanzania mkweli anajua. Kutokana na sababu hizo kiongozi au mwanasiasa yeyote makini ndani ya Chadema, atakubaliana na ukweli kwamba chama hicho sasa hakitakuwa na chake tena kanda ya kaskazini na nyanda za juu kusini mwaka 2015.

Chadema kama ina viongozi wanaona mbali wanaweza wakaanza kuitumia ruzuku wanaoipata sasa kwa umakini wa hali ya juu, ikiwa ni pamoja na ruzuku hiyo kutumika kujenga vitega uchumi vya baadae vya chama hicho baada ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2015, cha hicho hakitapata tena ruzuku. Hakuna kipindi kigumu ambacho Chadema itapitia kama kipindi hicho kwenye historia ya chama hicho.

Pamoja na kwamba hakuna kiongozi yeyote ndani ya Chadema anayeweza kwenda kinyume na amri ya Mbowe kuhusu matumizi ya ruzuku ya chama hicho, lakini mwelekeo wa sasa utakuwa tofauti, Chadema sasa wana hiyari ama kuacha hazina ya ruzuku yao kidogo kutoka serikalini inayopatikana sasa iendelee kuboresha maisha ya viongozi na familia zao, au waseme hapana, sasa tuanze kujenga ofisi za chama chetu kila mkoa na wilaya ili pindi ruzuku hiyo itakapopungua baada ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2015 walau chama kibakiwe na ofisi.

Mbowe na Dr Slaa sidhani kama watakubali wazo hilo lenye maana moja ya kupunguza maisha yao kifahari waliyonayo sasa hawatakubali kuona wanaachana na mipango yao ya kujiwekea hazina ya baadaye ya maisha ndani ya chama ambayo haitakuwa na ruzuku.
Ritz mbona unatoa povu huku ukibwabwaja? acha mbali ufisadi wenu mkubwa tatizo hili hapa la vijana mtalitatuaje? ebu wajibu vijana uache kutoa mapovu, hivi mtajipigia kura wenyewe? wizi wa kura hamtauweza kama ndo mlizoea.. mkaamua kuwarudisha wataalamu wa kuiba kura poleni
 
Chadema hakitakuwa chama cha kwanza cha upinzani nchini kuanguka kisiasa na kupoteza ruzuku hata NCCR Mageuzi ya Augustine Mrema ya mwaka 1995, ikijikuta inaelekea huko mwaka 2000 pale wabunge wake wote 16 walipopukutika na kuambulia kiti kimoja tu cha Kigoma Kusini, alishinda Kifu Ghulamhusein, ambaye sasa ni kada wa CCM na Mkuu wa Wilaya ya Mbalali, Mbeya.
 
Je,ikiwa walioteuliwa au kuchaguliwa wamejihusisha kwenye kuhujumu uchumi wa nchi utawaweka wapi?Je wanasafishika?Je ,CCM hakuna watu wasafi au watu wapya zaidi ya hao walioteuliwa/kuchaguliwa? Mwananchi wa kawaida ataendelea kudanganywa mpaka lini.
 
HIvi unataka kuniambia CCM hakuna asiye na kashfa mpaka kuwarudisha hawa jamaa, EPA imefanyika enzi za Mkapa wakati huo rushwa ikiitwa takrima! naona mangula alikuwa rikizo! hivi alifanya nini cha maana mpaka leo tuone kama ni mkombaozi. tusipumbaze mawazo yetu, kama kweli tuna nia ya kuikomboa hii nchi tuache unafiki na tuwaze kwa mapana zaidi. mimi sioni chochote kipya kwa kinana na mangula, cha maana mangula atulie hapo ajilie viposho vyake bila wasi, akikaribisha uzee mtulivu
 
Hivi huyo mangula anaweza kusimama adharani na kutuambia kinaga ubaga kagoda ni nini? anaweza kutuelezea nani anachukua malipo ya Dowans, anaweza kututajia mapesa ya uswiss, kama siku akiweza kufanya hivyo basi ujue sasa CCM inakuja juu. nje ya hapo wanapoteza muda na wana jidanganya sana. Bila kuiondoa CCm nchi hii haita pona kamwe!bila kutafuna maneno anaweza kusema jinsi pesa Ya EPA inavyo tutesa mpaka leo kutuchagulia viongozi tusio wataka?
 
Back
Top Bottom