hali tete barabarani

dionsio

Senior Member
Oct 11, 2013
169
29
wapendwa kuna msongamano mkubwa sana kuanzia magomeni mikumi kuelekea ilala tumekaa zaidi ya masaa 2 na sasa tumeamua kurudi nyuma na kupitia mnaz moja. tunatoka mwenge kuelekea tandika kwa dcm chata happy nation. hapa ndo 2po kidogo chekundu jiran na TANSOMA HOTEL.
 
Masaa mawili machache sana waulize wenzako wa kimara,mbezi,kibamba,kiluvya na kibaha kuendelea wanakaa masaa mangapi ?
 
masaa mawili machache sana waulize wenzako wa kimara,mbezi,kibamba,kiluvya na kibaha kuendelea wanakaa masaa mangapi ?
mbona ni kama tumeruka mkojo na kukanyaga mbolea. Mpaka sasa hata taa za kamata hatujui tutafika lini. Wazee wa feva nadhani wako likizo. Hawaonekani kwenye vpenyo
 
nilipita kawawa road mida ya saa 8, kulikuwa kuna foleni toka ilala boma hadi mikumi, lkn ilikuwa ikisogea polepole.
 
wapendwa kuna msongamano mkubwa sana kuanzia magomeni mikumi kuelekea ilala tumekaa zaidi ya masaa 2 na sasa tumeamua kurudi nyuma na kupitia mnaz moja. tunatoka mwenge kuelekea tandika kwa dcm chata happy nation. hapa ndo 2po kidogo chekundu jiran na TANSOMA HOTEL.
Na mkome, si mlikuwa mnatangaza foleni za mbagala, utafikiri huko kwenu kuna showrooms barabarani na si foleni....
 
Mkuu dionsio Wanasherekea IGP kuongezwa mda nenda bwalo lao pale Oysterbay utawakuta

mbona ni kama tumeruka mkojo na kukanyaga mbolea. Mpaka sasa hata taa za kamata hatujui tutafika lini. Wazee wa feva nadhani wako likizo. Hawaonekani kwenye vpenyo
 
Last edited by a moderator:
leo hata mimi nimeshangaa kati ya mnazi mmoja na shule ya uhuru ndio kulikuwa na foleni ya kutosha...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom