Hali tete 10 unazopambana nazo kama unatumia miguu yako kama usafiri wako (gari)

Ninamiliki gari na pikipiki moja lkn nisipokua job au kama siwahi mahali flan natembea kwa mguu comfortably kabisa na sijutii hilo,gari si kitu cha kupigia misele muda wote.Tembea kwa mguu mwili upate zoezi....
 
KahKab mkuu. Leo nimenunua nyingine. Maana natembea kilomita 8 kwa siku.
😃😃😃😃 mkuu fanya utafute zile sendoz za kimasai imara kabisa, zitakufaa sana. Mimi niko dom now basi miguu inachafuka na vumbi hatari. Nakata mitaa hadi watu wanahisi namwaga uchawi😃😃😃😃
 
Gari imetembea kilometa za kutosha hapo, haiuziki hata bure
IMG-20181024-WA0031.jpg
 
Kwa hili vumbi la Afrika, usafiri binafsi ni muhimu sana.

Kwa maisha ya sasa mie naona gari ni kitu muhimu sana kukimbizana na mishe za utafutaji. Utawahi dili zako kwa wakati, na utapanga trips muda unaotaka wewe. Afu kibongo bongo ukiwa na 'mkebe' unapewa kaheshima fulani hivi mtaani.

Mie nataka nianze na baiskeli mwaka huu... for short trips za hapa na pale, pia kwaajili ya mazoezi. Kuhusu gari... tuseme InshaAllah.

-Kaveli-
Sana mkuu kaveli inshallah
 
Back
Top Bottom