mnang'umba
JF-Expert Member
- Jun 26, 2015
- 470
- 139
Habari wana Jamii.
Kuna mtoto wakiume hapa mtaani ana umri Wa miaka 10. Ana hali ya Ushoga, nilianza kumuona miaka mitano 5. Michezo yake yote anakuwa na Watoto Kike.
Sasa hivi ameanzwa kutengwa na Watu, sababu ya halo alionayo. Shule aliokuwa anasoma, Ameambiwa atafute shule nyingine. Alikuwa anasoma shule binafsi.
Sasa huyu mtoto ataishije?
Yeye mwenyewe hajuwi kama ni shoga
Naomba maoni yenu ili nimfikishie mzazi Wa huyo Mtoto
Sent using Jamii Forums mobile app