Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 4,912
- 3,991
Habarini za asubuhi wakuu nianze kwa kutoa nasaha jinsi mambo yanavyokwenda ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo(CHADEMA) ikumbukwe wiki iliyopita kulikua na uteuzi mkubwa ndani ya chama hicho ya katibu mkuu wa chama taifa ambapo aliteuliwa Dr Mashiji, kukaimu nafasi ya Dr Slaa
Kutokana na uteuzi huo kuna habari za chini amabazo ni za uhakika kwamba baadhi ya makada maarufu majina (....) tumeyaifadhi watajiondoa ndani ya chama hicho, kuonyesha dhairi awakubaliani na mwenendo wa chama na hata kuburuzwa na mbowe.
Chanza cha habari kinaeleza makada hao walihaidiwa donge nono kumpokea Lowassa, ila mpaka sasa awajapokea hata senti tano na wapo tayari kustaafu siasa na kuanika jinsi chadema walivyonunuliwa na lowassa, pia jinsi wabunge wateule wa viti maalumu walivyoteuliwa kwa upendeleo, wengi wakiwa ni wanandani wa viongozi wa juu wamenuniana, wamevimbiana.
Tutarajie mpasuko mkubwa ndani ya chadema
Niwasilishe dondoo hii kwenu wadau
Cc ufipa association
Cc bavicha