Hali sio nzuri Tunduma, uchaguzi serikali za Mitaa.

idawa

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
25,284
38,317
Leo polisi wamelazimika kuingilia kati na kupiga mabomu ya machozi baada ya vijana wa CCM kuvamia msafara wa wanachadema wakitoka kwenye mikutano yao ya kampeni.

Wakati wakiendelea na maandamano yao ya Amani, ghafla mbele yao ulitokea msafara wa vijana wa CCM huku wakionekana dhahiri wapo kishari.

Kwa busara viongozi wa Chadema wakawasihi wanachama wao wawapishe barabara vijana wa CCM ili wapite na wao waendelee na msafara wao ajabu vijana wa CCM waliwavamia hukohuko pembeni ya barabara na kujichanganya nao.

Baada ya kuona hakuna majibu yoyote toka kwa wanachadema, vijana wa CCM walisogea mbele kidogo na kuanza kurusha mawe mfululizo waliko wanachadema hali iliyopelekea watu kadhaa kujeruhiwa na bajaji kadhaa kuvunjwa vioo.

Kama Chadema wangejibu mashambulizi huenda maafa makubwa yangetokea, maana vijana wa CCM ni wachache na niwale wanaolipwa kwa kufanya vurugu na ukiwaona tu unawaonea huruma ni vijana maskini waliokata tamaa ya maisha.
Maana unakuta msafara wa Chadema unawatu wasiopungua miambili na kuendelea ila wao wapo ishirini tu hawazidi hamsini.

Nawasihi wanachadema wa Tunduma tuendelee na uvumilivu tuliouonyesha leo, maana katika hali halisi ccm wakipata mitaa miwili hapa mjini itakua maajabu.
 
Ni wakati muafaka sasa kuwaonyesha kwa vitendo uchache wao. Hii ya kupigwa kila siku mnajigeuza watumwa.
 
Ni kweli mkuu sanduku la kura ndio majibu muafaka, Piga kura Linda kura ndio kauli mbinu yetu.
 
safi sana chdm busara ndio jadi yao. vipi vijana wamejiandikisha vya kutosha?
Mkuu kwa Mwaka huu uhamasishaji ulikua wa kiwango cha juu sana.

Kuna Vijana walijitolea kupita nyumba hadi nyumba kushawishi watu wajiandikishe,kama hiyo haitoshi wiki ya uandikishaji kuna vijana walijitolea kushinda maeneo jirani na Kituo akipita Baba, Mama, kaka na Dada yoyote yule wanamshawishi ajiandikishe.

Kuhusu hilo vijana walijipanga sana.
 
Mkuu kwa Mwaka huu uhamasishaji ulikua wa kiwango cha juu sana.

Kuna Vijana walijitolea kupita nyumba hadi nyumba kushawishi watu wajiandikishe,kama hiyo haitoshi wiki ya uandikishaji kuna vijana walijitolea kushinda maeneo jirani na Kituo akipita Baba, Mama, kaka na Dada yoyote yule wanamshawishi ajiandikishe.Kuhusu hilo vijana walijipanga sana.hii inaleta matumaini makubwa sana, mwaka huu kuna mwamko bila shaka hata mwaka ujao
 
Wanatunduma msiwe mafala kuwaachia CCM kuwaibia rasilimali zenu, wanaiba mifedha kibao kwenye mifuko ya sandarusi na mabox halafu wanakuja kuwapiga mawe nanyi mnakaa kimya kifalafala... Watwangeni ikiwezekana wang'oeni kucha na meno kama wafanyavyo wao!!!

Back
Top Bottom