Hali sio nzuri, jihadhari na mikusanyiko isiyo na lazima wapendwa

Hiyo corona inachagua watu wa kuwapasua, kuwepo ipo ila watu wanatoboa nayo, iko hivi, nimeshakaa na mtu ana corona zaidi ya wiki ( tunaenda tunakoenda, hapo anatumia dawa na mimi natumia japo sijisikii ovyo kivile, tumefika mpakani kapimwa anayo mimi sina, tukatoa pesa tukapita na kufika tunakoenda, akapimwa tena huko akakutwa nayo, sasa hapo ndio akazidiwa, kuna vidonge tulipewa huko, vina rangi ya pink akaambiwa ameze kimoja akameza viwili, jioni tena viwili dah kesho yake hakuweza hata kushuka ktk cabin. Lakini mimi sikuipata kabisa na kila nikimwa sina, ( nilikuwa mtata sana wakiniambia mdogo wangu ana Corona lakini ndani ya nafdi yangu nilikiwa najua kabisa hii yenyewe...Tulifanikiwa kurudi salama bila kuweka karantini, na hapa nnapozungumza kaka yangu yupo chumba mahututi hajui anayetoka wala anayeingia leo wiki ya pili huko Oman ( Corona )
 
nasikia hii inakuja ni terminator....Aisee...wachina wanataka kuimaliza Dunia..
 
Mwenye masikiio na asikie. Vaa barakoa

Nawa mikono mara kwa mara

Jihadhari na mikusanyiko isiyo na lazima wapendwa

Hali sio nzuri kabisaa kmr tunazika mfululizo

Jana group la Wakatoliki naona ASKOFU Mmoja anatangaza wawili mapadre wamenyooka kushindwa kupumua na Ijumaa walikuwa nao.

MUngu atulinde NAWATAKIA uhai mwema
nimeambiwa huko Moshi leo wanazika Mapadre watatu na waumini wamekatazwa kuhudhuria.
 
Back
Top Bottom