Hali si swari mkutano wa CHADEMA kata ya Ndago (Singida); watu 2 wafariki

Masikini Tanzania sijui inaelekea wapi tunaingia kwenye siasa za kuuwana sisi kwa sisi...inasikitisha sana.

CCM wanaua watu wao watasingizia wafuasi wa CDM...maana hata ulimboka wamemsingizia kichaa kuwa ndiye mhusika
 
Kana kwamba haitoshi Mnyika ameamua kuja kuliko ngome ya Mwigulu Ndago na kusababisha fujo kubwa sana. Nikiwa likizo jirani na Ndago nilijua kuwa kata ya Ndago wana uchaguzi wa CCM na wakati huo huo nilikuwa najua kuwa kutakuwa na mkutano wa Chadema kwa ajili ya kuharibu mtandao wa Mwigulu. Kilichotokea, kwa ndugu yangu aliyekuwepo mkutano wa Chadema anasimumulia, ofisis za CCM hazipo mbali sana na pale Chadema walipokuwa wanafanyia mkutano, hivyobasi yaliyokuwa yakisemwa mkutanoni yalisikika na wanaCCM. Kwa kuwa pia wanaCCM walisikia maneno makali ya chuki toka kwa Mnyika yakienda kwa Mwigulu na wanaCCM basi baadhi yao ambao walikuwa wamejichanganya katika mkutano wa Chadema walianza kuguna. Katika hali hiyo wale wa CCM wakawa wametambulika kuwa wamo na wamevamia mkutano wa Chadema na hivyo wakaanza kupigwa. Wakati huo huo wale waliokuwa wakitoka uchaguzini nao wakaanza kukimbizwa na mmoja wao kuingia ndani ya nyumba jirani ambapo alitolewa na nje na kupigwa mpaka kifo, Mwingine alipigwa na haijulikana ana hali gani.

My take: Inasemekana Kitila Mkumbo alikuwepo katika mkutano huo ikiwa ni jitihada za kuanza kumnadi ili akamn'goe Mwigulu. Pamoja na kussupport move yake naona tayari ameshaanza kuingia dosari. Sijui anajisikiaje kusababisha watu wake kufa. Siku zote namwona anajaribu kumpinga Mwigulu, lakini njia anazotumia sio sahahi, mfano siku moja katika kipindi cha "This week perspective" nilmwona alivyokuwa akihangaika kupinga hoja za Mwigulu bungeni. Kikubwa bwana Kitila Mkumbo nadhani unaanza kujichafua sasa wenzako wanaktumia wewe hadi unaua ndugu zako kwa sababu ya siasa tu. Tunakusubiri!
 
mods niko ndago msifute ni kweli.

wabunge wa chadema walifika saa
8.30 mchana huu lakini fujo na kuendelea kati ya mashabiki wa ccm na chadema watu wawili nimeona wamekufa na wengine kujeruhiwa kwa mawe. hali si shwari nitaleta taarifa zaidi baadaye natumia simu
KWENYE MKUTANO KUNA JOHN MNYIKA NA KITILA MKUMBO KIJANA ALIYEKUFA ANAITWA YOHANA MPINGA MIAKA 30 MKAZI WA KIJIJI CHA SONGAMBELE KATA YA NDAGO JIMBO LA IRAMBA MAGHARIBI LA MBUNGE MWIGULU NCHEMBA INADAIWA NI MFUASI WA CCM KAPIGWA KWA MAWE. WANA CDM TISA WAMEKAMATWA NA POLISI.

NAAMBIWA YULE WA PILI ALIKUWA BADO KUFA KAKIMBIZWA HOSPT.

Kawaida kila mkusanyiko au mkutano ni lazima upate kibali cha polisi ili kutoa ulinzi, je kwenye mkutano huo hakukuwa na ulinzi?na chanzo cha kazia hii lazima kijulikane, je walioanzisha walikuwa na nia gani?na kama hakuna mbona hakuna vyombo vya habari havijatoa taarifa hiyo?nafikiri kuna haja ya kuirenovate hii thread
 
Leo mtakuja wengi sana humu. Nadhani wenzio wako njiani. M4C imewabana kama albadiri vileee.
 
Kelele za kundi lile, hazikuwa zikivumilika. Wananchi hawakukubali uvunjifu wa amani wa makusudi uliokuw aukifanywa mbele ya polisi. Yaani sinema ile ilikuwa Ilemela-type, kule ambako wabunge wa CHADEMA walivamiwa, kukatwa mapanga mbele ya polisi wenye silaha. Brothers, huwezi kuamini lile kundi likajitenga pembeni na kuanza kurusha mawe.
Mkuu je kuna ukweli kwamba watu 2 wamefariki?
 
Wakuu na Mods

Njia ya muongoni fupi sana. Wabunge wa CHADEMA wasiokuwa na majina wamefika Ndago saa 8.30 mchana?????!!!!!!

Wakuu, kuna Operesheni ndogo kwa Mkoa wa Singida yakiwa ni maandalizi ya operesheni kubwa kwa mikoa mitano, Singida, Iringa, Dodoma, Manyara na Morogoro, kama ilivyoazimiwa na Kamati Kuu mapema wiki hii..

Acha propoganda mmeua ndugu zangu ninyi
 
hii habari bado sijajua ukweli wake lkn kwa jinis ilivyo naweza kusema kwamba kama mnyika amekwenda ktk jimbo la nchemba katika kipindi ambacho wana uhasama na kesi bungeni, atakua amefanya kosa.

Mnyka ana haki ya kwenda popote hapa TZ lkn kwa mtu mwenye busara asingekwenda kwa nchemba muda huu. sijaweka siasa mbele bali utanzania wangu!

ndugu zanguni maswala kama haya tuwe tunayajadili kwa kuweka ubinadamu na utanzania mbele
 
Kama nitakuwa nimekosea naomba mungu anisamehe, Mwigulu Nchemba anaweza kabisa kuwa version ya Joshua Arap Sang, yule mtangazaji wa radio Kenya aliyetumia sana radio yake kuchochea vurugu baada ya uchaguzi mkuu uliopita huko Kenya. Sasa hivi Joshua ni miongoni na mwa wale ICC 4. Na anaweza kuishia kula majani maana waliomtumia wanakula bata.

Nchemba ana akili za kitoto sana, lakini amejiaminisha yeye ni mtu mkubwa na mwenye akili nyingi hivyo ana uwezo wa kufanya lolote na hakuna wa kumkamata maana yuko karibu na wafalme. Huu ni mwaka 2012, tarehe 1/1/2016 tutakuwa na utawala mpya, na kama Nchemba na wenzake hawakuwa makini, tarehe hiyo niliyoitaja upo uwezekano kabisa Tanganyika tukawa kwenye mchakato wa kuunda ama mahakama za Gacaca au/na tume ya usuluhishi.
 
Hii ni habari mbaya kwa mwigulu na vibaraka wake na hizo ni rasha rasha masika ikuja mwigulu sijui nani atampa pesa ya epa tene
wakuu na mods

njia ya muongoni fupi sana. Wabunge wa chadema wasiokuwa na majina wamefika ndago saa 8.30 mchana?????!!!!!!

Wakuu, kuna operesheni ndogo kwa mkoa wa singida yakiwa ni maandalizi ya operesheni kubwa kwa mikoa mitano, singida, iringa, dodoma, manyara na morogoro, kama ilivyoazimiwa na kamati kuu mapema wiki hii....
 
PoLeni wafiwa....ningeomba sana sana serikali wakati wa zoezi la kuhesabu watu pia wawausie vijana kutotumika kisiasa

Kama kweli mauaji yametokea ya hasira ni kumuomba Mungu tu 2015 tuenende vizuri

Nimefuatilia kwa umakini sana michango ya hasira na personification(sp) nyingi za Nchemba ambaye akifanikiwa hoja anawauliza wenzake mbona hamnipigii makofi? Nimemuona kama mtu ambaye anatumia nguvu nyingi sana kujipambanua

Labda niweke wazi kuwa wajengaji hoja ninaowaona ni makini ni J Makamba,Zitto,Filikunjombe, hata yule mwenye asili ya kihindi,Mnyika na Lissu na mmoja wa Nccr nimeona umaarufu wao ukizidi kupanda kwa hoja za mashiko bungeni

Ninaingia wasiwasi na style ya 'nguvu' anayotumia Nchemba akidhani itamweka kwenye same league na Makamba, instead amekuwa a serial joker...sitashangaa kama amepanga hili kundi ili j3 apate utangulizi wa kifedhuli bungeni kabla hajachangia hoja
 
Wakuu na Mods

Njia ya muongoni fupi sana. Wabunge wa CHADEMA wasiokuwa na majina wamefika Ndago saa 8.30 mchana?????!!!!!!

Wakuu, kuna Operesheni ndogo kwa Mkoa wa Singida yakiwa ni maandalizi ya operesheni kubwa kwa mikoa mitano, Singida, Iringa, Dodoma, Manyara na Morogoro, kama ilivyoazimiwa na Kamati Kuu mapema wiki hii...

Asante sana mkuu Makene.Mods fanyeni kazi yenu.
 
Kana kwamba haitoshi Mnyika ameamua kuja kuliko ngome ya Mwigulu Ndago na kusababisha fujo kubwa sana. Nikiwa likizo jirani na Ndago nilijua kuwa kata ya Ndago wana uchaguzi wa CCM na wakati huo huo nilikuwa najua kuwa kutakuwa na mkutano wa Chadema kwa ajili ya kuharibu mtandao wa Mwigulu. Kilichotokea, kwa ndugu yangu aliyekuwepo mkutano wa Chadema anasimumulia, ofisis za CCM hazipo mbali sana na pale Chadema walipokuwa wanafanyia mkutano, hivyobasi yaliyokuwa yakisemwa mkutanoni yalisikika na wanaCCM. Kwa kuwa pia wanaCCM walisikia maneno makali ya chuki toka kwa Mnyika yakienda kwa Mwigulu na wanaCCM basi baadhi yao ambao walikuwa wamejichanganya katika mkutano wa Chadema walianza kuguna. Katika hali hiyo wale wa CCM wakawa wametambulika kuwa wamo na wamevamia mkutano wa Chadema na hivyo wakaanza kupigwa. Wakati huo huo wale waliokuwa wakitoka uchaguzini nao wakaanza kukimbizwa na mmoja wao kuingia ndani ya nyumba jirani ambapo alitolewa na nje na kupigwa mpaka kifo, Mwingine alipigwa na haijulikana ana hali gani.

My take: Inasemekana Kitila Mkumbo alikuwepo katika mkutano huo ikiwa ni jitihada za kuanza kumnadi ili akamn'goe Mwigulu. Pamoja na kussupport move yake naona tayari ameshaanza kuingia dosari. Sijui anajisikiaje kusababisha watu wake kufa. Siku zote namwona anajaribu kumpinga Mwigulu, lakini njia anazotumia sio sahahi, mfano siku moja katika kipindi cha "This week perspective" nilmwona alivyokuwa akihangaika kupinga hoja za Mwigulu bungeni. Kikubwa bwana Kitila Mkumbo nadhani unaanza kujichafua sasa wenzako wanaktumia wewe hadi unaua ndugu zako kwa sababu ya siasa tu. Tunakusubiri!

Wewe mtu wa ajabu sana! Je kuna mwenye hakimiliki ya kuwa mbunge mpaka kufa? Ni dhambi gani Dr. Mkumbo kumpinga Mh. Mwiguru kwa hoja kupitia kipindi cha this week in perspective? Hembu oanisha kimantinki uwepo wa Dr.Mkumbo na vurugu zilizotokea, ukishindwa tutaamini wewe ni mmoja wea wachumia tumbo katika siasa chafu za kisisiemu!
 
hii habari bado sijajua ukweli wake lkn kwa jinis ilivyo naweza kusema kwamba kama mnyika amekwenda ktk jimbo la nchemba katika kipindi ambacho wana uhasama na kesi bungeni, atakua amefanya kosa.

Mnyka ana haki ya kwenda popote hapa TZ lkn kwa mtu mwenye busara asingekwenda kwa nchemba muda huu. sijaweka siasa mbele bali utanzania wangu!

ndugu zanguni maswala kama haya tuwe tunayajadili kwa kuweka ubinadamu na utanzania mbele
 
hii habari bado sijajua ukweli wake lkn kwa jinis ilivyo naweza kusema kwamba kama mnyika amekwenda ktk jimbo la nchemba katika kipindi ambacho wana uhasama na kesi bungeni, atakua amefanya kosa.

Mnyka ana haki ya kwenda popote hapa TZ lkn kwa mtu mwenye busara asingekwenda kwa nchemba muda huu. sijaweka siasa mbele bali utanzania wangu!

ndugu zanguni maswala kama haya tuwe tunayajadili kwa kuweka ubinadamu na utanzania mbele

Who is Nchemba in this country.My foot!
 
Kana kwamba haitoshi Mnyika ameamua kuja kuliko ngome ya Mwigulu Ndago na kusababisha fujo kubwa sana. Nikiwa likizo jirani na Ndago nilijua kuwa kata ya Ndago wana uchaguzi wa CCM na wakati huo huo nilikuwa najua kuwa kutakuwa na mkutano wa Chadema kwa ajili ya kuharibu mtandao wa Mwigulu. Kilichotokea, kwa ndugu yangu aliyekuwepo mkutano wa Chadema anasimumulia, ofisis za CCM hazipo mbali sana na pale Chadema walipokuwa wanafanyia mkutano, hivyobasi yaliyokuwa yakisemwa mkutanoni yalisikika na wanaCCM. Kwa kuwa pia wanaCCM walisikia maneno makali ya chuki toka kwa Mnyika yakienda kwa Mwigulu na wanaCCM basi baadhi yao ambao walikuwa wamejichanganya katika mkutano wa Chadema walianza kuguna. Katika hali hiyo wale wa CCM wakawa wametambulika kuwa wamo na wamevamia mkutano wa Chadema na hivyo wakaanza kupigwa. Wakati huo huo wale waliokuwa wakitoka uchaguzini nao wakaanza kukimbizwa na mmoja wao kuingia ndani ya nyumba jirani ambapo alitolewa na nje na kupigwa mpaka kifo, Mwingine alipigwa na haijulikana ana hali gani.

My take: Inasemekana Kitila Mkumbo alikuwepo katika mkutano huo ikiwa ni jitihada za kuanza kumnadi ili akamn'goe Mwigulu. Pamoja na kussupport move yake naona tayari ameshaanza kuingia dosari. Sijui anajisikiaje kusababisha watu wake kufa. Siku zote namwona anajaribu kumpinga Mwigulu, lakini njia anazotumia sio sahahi, mfano siku moja katika kipindi cha "This week perspective" nilmwona alivyokuwa akihangaika kupinga hoja za Mwigulu bungeni. Kikubwa bwana Kitila Mkumbo nadhani unaanza kujichafua sasa wenzako wanaktumia wewe hadi unaua ndugu zako kwa sababu ya siasa tu. Tunakusubiri!

Magamba at work.Mtahangaika sana lakini Kitila ndiye mbunge mtarajiwa wa jimbo hili.Shame upon you vibaraka.
 
Back
Top Bottom