Hali si shwari: Kamishina TRA, Waziri wa fedha, wagoma kutoa makusanyo ya TRA mwezi Aprili

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,575
Kwa hali ya kushangaza waziri wa fedha , kamishina wa fedha , mpk sasa wameshindwa kutaja makusanyo ya TRA . Kama ilivyokuwa mwanzo . Miezi 3 iliyopita, TRA walikuwa wanakusanya zaidi ya tirioni 1.3 mwezi march,

Ata kitengo cha huduma ya walipa kodi . Nawenyewe wako kimya. Wakiofia kutaja makusanyo madogo kuwa watatumbuliwa kwa kukosa Ubunifu wa namna ya kuongeza mapato Mwezi huu wamegoma kutoa kakisio ya makusanyo mpaka leo tunaingia mwezi mwingine wa kifedha.
 
Kwa hali ya kushangaza waziri wa fedha , kamishina wa fedha , mpk sasa wameshindwa kutaja makusanyo ya tra . Kama ilivyokuwa mwanzo . Miezi 3 iliyopita ; tra walikuwa wanakusanya zaidi ya tirioni 1.3 mwezi march,

Mkuu mbona makisio yalitolewa humu kwa mwezi April kuwa yatakuwa trillioni 1.03??
na kuna uzi humu ndani??
Au unaulizia mgawanyo wa mapato kwa mwezi April??
 
Kwani waliambiwa na nani wayatoe hayo then wakamkatalia umbea mwingine bwana
 
Kwa hali ya kushangaza waziri wa fedha , kamishina wa fedha , mpk sasa wameshindwa kutaja makusanyo ya tra . Kama ilivyokuwa mwanzo . Miezi 3 iliyopita ; tra walikuwa wanakusanya zaidi ya tirioni 1.3 mwezi march,

Ata kitengo cha huduma ya walipa kodi . Nawenyewe wako kimya. Wakiofia kutaja makusanyo madogo kuwa watatumbuliwa kwa kukosa Ubunifu wa namna ya kuongeza mapato Mwezi huu wamegoma kutoa kakisio ya makusanyo mpaka leo tunaingia mwezi mwingine wa kifedha.
Pato limepungua ndugu. Kongo haiptish mizigo yake kuptia bandari ya Dar . lazma pato lipungue
 
kwani hamjasikia bandarini mizigo imepungua?na huu sio mwezi wa biashara ni mpaka mwezi wa saba na kuendelea nimesitisha kutoa taarifa mpaka hapo baadae
 
Hata mwezi wa tatu mlikuja na thread ya namna hii...Chura Chura Chura
 
Wakati Leo unaandika hivi kesho wanatoa, hata mwezi uliopita kuna Mdau aliwakumbusha hapahapa.
 
Kwa hali ya kushangaza waziri wa fedha , kamishina wa fedha , mpk sasa wameshindwa kutaja makusanyo ya tra . Kama ilivyokuwa mwanzo . Miezi 3 iliyopita ; tra walikuwa wanakusanya zaidi ya tirioni 1.3 mwezi march,

Ata kitengo cha huduma ya walipa kodi . Nawenyewe wako kimya. Wakiofia kutaja makusanyo madogo kuwa watatumbuliwa kwa kukosa Ubunifu wa namna ya kuongeza mapato Mwezi huu wamegoma kutoa kakisio ya makusanyo mpaka leo tunaingia mwezi mwingine wa kifedha.
*****
WATANZANIA TUWAPE MUDA KWANI LEO NDO TAREHE 2 MPAKA TAREHE 3,4 MAMBO YATAIVA / HARAKA HAINA BARAKA WANDUGU/ TUSIWAHI KUHUKUMU.
 
Back
Top Bottom