Uchaguzi 2020 Hali si hali: Katambi 'akataliwa' na 'kugomewa' Shinyanga Mjini, Masele aombwa kumsaidia. Ahaidiwa Ubalozi

ILe Shinyanga ya Hayati Bob Nyanga Makani bado inaishi! Wakazi wa Shinyanga Mungu awapokeaa kwenye ufalme wake huko peponi


Pigeni Spana huyo pimbi hadi achanganyikiwe!
 
Kilichowazi na ccm wanajua ni kwamba kwanza hawakushinda Zanzibar wala bara 2015 ndio maana ya rais kutangaza vita dhidi ya upinzani alipoingia tu madarakani. Chaguzi za madiwani na wabunge walionunua wote mnakumbuka ilikuwaje. Watz wanajua nn kilitokea December mwaka jana uchaguzi serikali za mitaa.....
Kimsingi na ccm wanajua hakuna
1. Wakulima
2. Wafanyakazi
3. Wafanyabiashara
4. Wanafunzi
Wakuichagua ccm na ndio chanzo cha haya yote kulazimisha kubaki madarakani kwa nguvu ya tume km alivoahidi rais lkn pia kwa nguvu ya dola km alivyosema Bashiru
 
Naamini ni ujinga, kama anateuliwa mtu kwa vile anauwezo wa kuongea mbovu, anakitetea chama bila kujali, tuwaridhishe kundi la wasanii, ni ulofa, kazi ya huko ni zaidi ya mambo hayo, kuna kuchambua mambo na kushauri, sasa hii itapelekea kutungwa kwa sheria mbovu kama zile za takwimu!
Uko siriasi sana mkuu.aisee.MUHIMU...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hali ni mbaya wapi.mnakaa kwenye vijiwe vya kahawa na kwenye mapool table na kujipa moyo mnashinda..huyo mgombea wenu kafanya mkutano 1 tangu kampeni zianze.pesa hata ya kuandaa mkutano hana.unajitekenya mwenyewe kisha unacheka mwenyewe huo ni uzwazwa
Nasikia.anachangisha tena.za kufanyia.mkutano wa pili,vipi ni.makosa ama?Ila watu.wanachanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UMMA WOTE TUNAJUA CHADEMA BADO MNA BIFU KUBWA KWA KATAMBI NA HUU UZI NI MOJA YA MIKAKATI YENU ILI KUMFIGISHA KATAMBI.
LAKINI UKWELI NI KWAMBA SHINYANGA IKO NA KATAMBI.

MLIUHADAA ULIMWENGU KWAMBA MKO NA MEMBE, MBONA HATUWAONI??
WANAFIKI WA TAIFA NYIE!
Andika kwa herufi ndogo membe ata ungekuwa nae wewe na familia yako ni sawa tu
 
Hali ni tete kwa mgombea wetu wa CCM hapa katika Jimbo la Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi. Katambi ambaye alikataliwa na 'Wajumbe' wakati wa kura za maoni ndani ya CCM, alipitishwa 'kibabe' na Kamati Kuu na NEC ya CCM kule Dodoma. Katambi, katika kura za maoni, aliachwa mbali mno na aliyekuwa Mbunge wa hapa Steven Masele ambaye jina lake lilikatwa Dodoma.

Katika kuonesha kinyongo kisicho na uongo, makada wa CCM hapa Shinyanga Mjini wamekuwa wakijitenga na Katambi hadharani na sirini. Katika harakati za kuokoa jahazi na kuulinda ushindi wa CCM, Mbunge wa zamani Masele 'ameombwa' na viongozi waandamizi wa CCM Taifa kumsaidia Katambi katika kampeni zake. Ameahidiwa kuwa endapo CCM ikishinda Urais atapatiwa nafasi ya Ubalozi au nyingine tamutamu.

Masele hana tatizo na hilo. Lakini, wafuasi na wasukamipango wake wamegoma 'kumruhusu' kumsaidia Katambi wakidai kuwa Katambi hauziki hata kama utapigwa na muziki. Pamoja na kwamba CCM ndiyo watetezi wa hapa Shinyanga Mjini, hali yetu si nzuri kulingana na taswira iliyochorwa ya mgombea wetu. Katambi anatajwa kama asiye na ushawishi wowote na kusemwa kuwa 'anatakiwa' tu Bungeni kwenda kuwaongelea mbovu wapinzani.

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Shinyanga Mjini)
Wakigoma wajue wanapoteza fursa ya Masele kuula ubalozi nchi nononono
 
Nasikia.anachangisha tena.za kufanyia.mkutano wa pili,vipi ni.makosa ama?Ila watu.wanachanga

Sent using Jamii Forums mobile app

Unawajua watu wa shy town wewe.?hamsini hamsini za chenji ya kwenye kahawa ndio wanampa.mpaka afikishe angalau elfu 50 ya kukodi bajaji uchaguzi utakua umekaribia.mbowe alichukua pessa yote ya mishahara ya kibunge..kawachia madeni.Salome hakopesheki
 
Back
Top Bottom