Umeshafeli kabla haujaanza. Kampeni tu hachomoki.Ule mkataba wa kumshambulia Lissu aliopewa Katambi unaisha lini?

😂😂😂😂Umeshafeli kabla haujaanza. Kampeni tu hachomoki.
Hali ikoje twambie mkuu maana hapa tuko shinyanga au mwenzetu uko shinyanga ya BirminghamHali halisi haipo hivo usemavyo,,,
Ni kama umetumwa kuchafua huku ukijifanya wewe ni wa cCm,,.
Acha stories za Abunuasi,bila Katiba ya Jaji Warioba CCM ni kisiki kwa miaka mingi.Ina maana CCM wataendelea kutawala nchi hii hata wakimuweka kipofu.CCM ina miaka michache sana ya kuishi hapa Tanzania. Ukija kwa Mwenyekiti wao, naye kwa sasa anatembelea tu nyota ya wasanii wa bongo fleva!
Wasingekua hao wasanii, hakuna Mtanzania ambaye angeenda kusikiliza hotuba zao! Maana hawana jipya la kutuambia.
Stori zao ni zile zile! Tunatoa Elimu Bure, tumenunua ndege, nk. Huku maisha ya Watanzania walio wengi yakiendelea kuwa magumu kutokana na sera zao mbovu.
Mkuu hivi baada ya uchaguzi utakuwa na cha kukomenti kweli?CCM ina miaka michache sana ya kuishi hapa Tanzania. Ukija kwa Mwenyekiti wao, naye kwa sasa anatembelea tu nyota ya wasanii wa bongo fleva!
Wasingekua hao wasanii, hakuna Mtanzania ambaye angeenda kusikiliza hotuba zao! Maana hawana jipya la kutuambia.
Stori zao ni zile zile! Tunatoa Elimu Bure, tumenunua ndege, nk. Huku maisha ya Watanzania walio wengi yakiendelea kuwa magumu kutokana na sera zao mbovu.
Mkuu
Mkuu hivi baada ya uchaguzi utakuwa na cha kukomenti kweli?
Yaani MTU aliyekuwa anashinda kwa kura moja awe kikwazo kwa katambi acha uchuro.Hali ni tete kwa mgombea wetu wa CCM hapa katika Jimbo la Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi. Katambi ambaye alikataliwa na 'Wajumbe' wakati wa kura za maoni ndani ya CCM, alipitishwa 'kibabe' na Kamati Kuu na NEC ya CCM kule Dodoma. Katambi, katika kura za maoni, aliachwa mbali mno na aliyekuwa Mbunge wa hapa Steven Masele ambaye jina lake lilikatwa Dodoma.
Katika kuonesha kinyongo kisicho na uongo, makada wa CCM hapa Shinyanga Mjini wamekuwa wakijitenga na Katambi hadharani na sirini. Katika harakati za kuokoa jahazi na kuulinda ushindi wa CCM, Mbunge wa zamani Masele 'ameombwa' na viongozi waandamizi wa CCM Taifa kumsaidia Katambi katika kampeni zake. Ameahidiwa kuwa endapo CCM ikishinda Urais atapatiwa nafasi ya Ubalozi au nyingine tamutamu.
Masele hana tatizo na hilo. Lakini, wafuasi na wasukamipango wake wamegoma 'kumruhusu' kumsaidia Katambi wakidai kuwa Katambi hauziki hata kama utapigwa na muziki. Pamoja na kwamba CCM ndiyo watetezi wa hapa Shinyanga Mjini, hali yetu si nzuri kulingana na taswira iliyochorwa ya mgombea wetu. Katambi anatajwa kama asiye na ushawishi wowote na kusemwa kuwa 'anatakiwa' tu Bungeni kwenda kuwaongelea mbovu wapinzani.
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Shinyanga Mjini)
Huyu achana naye hata wa 'kwao' hawamtaki.Ni km sima wa singida mjini naye akishinda sijui amekataliwa Hadi aibu
Hali ni tete kwa mgombea wetu wa CCM hapa katika Jimbo la Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi. Katambi ambaye alikataliwa na 'Wajumbe' wakati wa kura za maoni ndani ya CCM, alipitishwa 'kibabe' na Kamati Kuu na NEC ya CCM kule Dodoma. Katambi, katika kura za maoni, aliachwa mbali mno na aliyekuwa Mbunge wa hapa Steven Masele ambaye jina lake lilikatwa Dodoma.
Katika kuonesha kinyongo kisicho na uongo, makada wa CCM hapa Shinyanga Mjini wamekuwa wakijitenga na Katambi hadharani na sirini. Katika harakati za kuokoa jahazi na kuulinda ushindi wa CCM, Mbunge wa zamani Masele 'ameombwa' na viongozi waandamizi wa CCM Taifa kumsaidia Katambi katika kampeni zake. Ameahidiwa kuwa endapo CCM ikishinda Urais atapatiwa nafasi ya Ubalozi au nyingine tamutamu.
Masele hana tatizo na hilo. Lakini, wafuasi na wasukamipango wake wamegoma 'kumruhusu' kumsaidia Katambi wakidai kuwa Katambi hauziki hata kama utapigwa na muziki. Pamoja na kwamba CCM ndiyo watetezi wa hapa Shinyanga Mjini, hali yetu si nzuri kulingana na taswira iliyochorwa ya mgombea wetu. Katambi anatajwa kama asiye na ushawishi wowote na kusemwa kuwa 'anatakiwa' tu Bungeni kwenda kuwaongelea mbovu wapinzani.
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Shinyanga Mjini)
UMMA WOTE TUNAJUA CHADEMA BADO MNA BIFU KUBWA KWA KATAMBI NA HUU UZI NI MOJA YA MIKAKATI YENU ILI KUMFIGISHA KATAMBI.Hali ni tete kwa mgombea wetu wa CCM hapa katika Jimbo la Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi. Katambi ambaye alikataliwa na 'Wajumbe' wakati wa kura za maoni ndani ya CCM, alipitishwa 'kibabe' na Kamati Kuu na NEC ya CCM kule Dodoma. Katambi, katika kura za maoni, aliachwa mbali mno na aliyekuwa Mbunge wa hapa Steven Masele ambaye jina lake lilikatwa Dodoma.
Katika kuonesha kinyongo kisicho na uongo, makada wa CCM hapa Shinyanga Mjini wamekuwa wakijitenga na Katambi hadharani na sirini. Katika harakati za kuokoa jahazi na kuulinda ushindi wa CCM, Mbunge wa zamani Masele 'ameombwa' na viongozi waandamizi wa CCM Taifa kumsaidia Katambi katika kampeni zake. Ameahidiwa kuwa endapo CCM ikishinda Urais atapatiwa nafasi ya Ubalozi au nyingine tamutamu.
Masele hana tatizo na hilo. Lakini, wafuasi na wasukamipango wake wamegoma 'kumruhusu' kumsaidia Katambi wakidai kuwa Katambi hauziki hata kama utapigwa na muziki. Pamoja na kwamba CCM ndiyo watetezi wa hapa Shinyanga Mjini, hali yetu si nzuri kulingana na taswira iliyochorwa ya mgombea wetu. Katambi anatajwa kama asiye na ushawishi wowote na kusemwa kuwa 'anatakiwa' tu Bungeni kwenda kuwaongelea mbovu wapinzani.
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Shinyanga Mjini)
Huu ushauri ungempa na lissu aachane na magufuli atangaze sera za chama.Badala ya kutangaza sera za chama chake, yeye anaendekeza matusi..........
Na hiyo ndiyo itakayowa-cost vibaya sana, hadi hilo jimbo walipe mkono wa Bye Bye
Hali ni tete kwa mgombea wetu wa CCM hapa katika Jimbo la Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi. Katambi ambaye alikataliwa na 'Wajumbe' wakati wa kura za maoni ndani ya CCM, alipitishwa 'kibabe' na Kamati Kuu na NEC ya CCM kule Dodoma. Katambi, katika kura za maoni, aliachwa mbali mno na aliyekuwa Mbunge wa hapa Steven Masele ambaye jina lake lilikatwa Dodoma.
Katika kuonesha kinyongo kisicho na uongo, makada wa CCM hapa Shinyanga Mjini wamekuwa wakijitenga na Katambi hadharani na sirini. Katika harakati za kuokoa jahazi na kuulinda ushindi wa CCM, Mbunge wa zamani Masele 'ameombwa' na viongozi waandamizi wa CCM Taifa kumsaidia Katambi katika kampeni zake. Ameahidiwa kuwa endapo CCM ikishinda Urais atapatiwa nafasi ya Ubalozi au nyingine tamutamu.
Masele hana tatizo na hilo. Lakini, wafuasi na wasukamipango wake wamegoma 'kumruhusu' kumsaidia Katambi wakidai kuwa Katambi hauziki hata kama utapigwa na muziki. Pamoja na kwamba CCM ndiyo watetezi wa hapa Shinyanga Mjini, hali yetu si nzuri kulingana na taswira iliyochorwa ya mgombea wetu. Katambi anatajwa kama asiye na ushawishi wowote na kusemwa kuwa 'anatakiwa' tu Bungeni kwenda kuwaongelea mbovu wapinzani.
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Shinyanga Mjini)
Yaani ccm kweli mmekosa vijana wenye akili na weredi na mvuto kutoka uvccm/vyuoni,serikalini mpaka mkumbatie watu ambao hawaja accomplish chochote ktk maisha yao?mnawabeba wa nini vijana Kama Makonda,Katambi?wanakipi Cha upekee mpaka mnawabeba kiasi hiki?c Bora mngepereka hata kafulila akagombee huko shinyanga.au Hawa vijana wanatoa kwa mparange!??Hali ni tete kwa mgombea wetu wa CCM hapa katika Jimbo la Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi. Katambi ambaye alikataliwa na 'Wajumbe' wakati wa kura za maoni ndani ya CCM, alipitishwa 'kibabe' na Kamati Kuu na NEC ya CCM kule Dodoma. Katambi, katika kura za maoni, aliachwa mbali mno na aliyekuwa Mbunge wa hapa Steven Masele ambaye jina lake lilikatwa Dodoma.