Tetesi: Hali si hali Halmashauri ya jiji la Arusha

amina ngalo

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
309
170
*Hali si hali Jiji la Arusha*
Hali ya mambo katika halmashauri ya Jiji la Arusha inaonekana kuwaendea vibaya madiwani wa chama cha demokrasia na maendeleo ambao ndio wengi katika baraza la madiwani.

Katika kikao cha Finance kilichofanyika katika ukumbi wa Jiji, vyanzo vyetu vya kuaminika vinatunyetisha kwamba madiwani hao wameendelea kulalamikia ubabe wa mkurugenzi wa Jiji la Arusha bwana Athumani Kihamia na mpaka kufikia hatua Meya wa Jiji hilo Kalisti Lazaro kufikia hatua ya kutishia kumwaga damu ili kufikisha ujumbe ya kwamba ilani yao ya Chadema inapuuzwa na mkurugenzi huyo na kila wanapompa maelekezo huyapuuza. Hii ni kufuatia sakata la maduka ya stendi ndogo yanayogombaniwa na wapangaji ambao inadaiwa ni wanachadema.

Wanadaiwa kupokea rushwa toka kwa wapangaji kuvuruga utaratibu wa vikao ni diwani wa Levolosi Ndg Efatha Nanyaro na wa Ngarenaro Mhe. Doita pamoja na Naibu meya.

Sisi kama wapenda amani katika jiji hili tunaviomba vyombo vya ulinzi na usalama kufuatilia kauli kama hizi kwani zina viashiria vya uvunjifu wa amani hasa ukizingatia historia ya CHadema kuvuruga amani jijini Arusha.
Pili tunapenda kuwakumbusha madiwani wa Chadema ya kwamba ilani inayotekelezwa kwa sasa ni ilani ya Chama Cha Mapinduzi kwani ndicho chama kilichopewa ridhaa na wananchi mpaka mwaka 2020.
 
C & P as received....
*Hali si hali Jiji la Arusha*
Hali ya mambo katika halmashauri ya Jiji la Arusha inaonekana kuwaendea vibaya madiwani wa chama cha demokrasia na maendeleo ambao ndio wengi katika baraza la madiwani.
Katika kikao cha Finance kilichofanyika katika ukumbi wa Jiji, vyanzo vyetu vya kuaminika vinatunyetisha kwamba madiwani hao wameendelea kulalamikia ubabe wa mkurugenzi wa Jiji la Arusha bwana Athumani Kihamia na mpaka kufikia hatua Meya wa Jiji hilo Kalisti Lazaro kufikia hatua ya kutishia kumwaga damu ili kufikisha ujumbe ya kwamba ilani yao ya Chadema inapuuzwa na mkurugenzi huyo na kila wanapompa maelekezo huyapuuza. Hii ni kufuatia sakata la maduka ya stendi ndogo yanayogombaniwa na wapangaji ambao inadaiwa ni wanachadema. Wanadaiwa kupokea rushwa toka kwa wapangaji kuvuruga utaratibu wa vikao ni diwani wa Levolosi Ndg Efatha Nanyaro na wa Ngarenaro Mhe. Doita pamoja na Naibu meya.

Uko biased, hatuwezi kuamini hii kitu, kajipange upya urudi tena!
 
Mh ilani ya !!!!!!!!!!!!!??
 
Mtoa mada jaribu kujifunza kutoa taarifa kwa usahihi kisha waache wasomaji watoe maoni yao kadiri watakavyoelewa mada uliyowasilisha.

Mbona unakuwa kama Le profeseri OSOROO! Yaani unawasilisha taarifa halafu na wewe unatoa hukumu hapo hapo, huo sio weledi. Acha ukweli uongee wenyewe.

Mfano: watu wa Arusha walipochagua Chadema ina maana waliona inafaa zaidi kuliko CCM, hivyo sio rahisi kuwaaminisha wana Arusha kuwa....Nyekundu ni Nyeusi, na KIJANI NI NYEUPE.....NO, hilo halipo na halitakuja kutokea siku za hapa karibuni.

Kifupi wananchi wa Arusha wanajitambua na wajua uovu wa CCM! Mfano mzuri ni GAMBO WA CCM kuiba Rambi rambi za wafiwa kwa wale watoto. JE HADI HAPO NANI ANAWEZA IAMINI TENA CCM??

Usitumike vibayaaa!
 
Arusha ni mji wa chadema. Itakuwaje itekeleze ilani ya ccm? Haiwezekani. Kikubwa ni kusikiliza madiwani waliotumwa na wananchi wanataka plan gani. Na hiyo iekelezwe. Mwisho wa siku hakuna anayejua huyo mnyama ilani. Kinachotakiwa ni huduma bora.
 
C & P as received....
*Hali si hali Jiji la Arusha*
Hali ya mambo katika halmashauri ya Jiji la Arusha inaonekana kuwaendea vibaya madiwani wa chama cha demokrasia na maendeleo ambao ndio wengi katika baraza la madiwani.
Katika kikao cha Finance kilichofanyika katika ukumbi wa Jiji, vyanzo vyetu vya kuaminika vinatunyetisha kwamba madiwani hao wameendelea kulalamikia ubabe wa mkurugenzi wa Jiji la Arusha bwana Athumani Kihamia na mpaka kufikia hatua Meya wa Jiji hilo Kalisti Lazaro kufikia hatua ya kutishia kumwaga damu ili kufikisha ujumbe ya kwamba ilani yao ya Chadema inapuuzwa na mkurugenzi huyo na kila wanapompa maelekezo huyapuuza. Hii ni kufuatia sakata la maduka ya stendi ndogo yanayogombaniwa na wapangaji ambao inadaiwa ni wanachadema. Wanadaiwa kupokea rushwa toka kwa wapangaji kuvuruga utaratibu wa vikao ni diwani wa Levolosi Ndg Efatha Nanyaro na wa Ngarenaro Mhe. Doita pamoja na Naibu meya.
Sisi kama wapenda amani katika jiji hili tunaviomba vyombo vya ulinzi na usalama kufuatilia kauli kama hizi kwani zina viashiria vya uvunjifu wa amani hasa ukizingatia historia ya CHadema kuvuruga amani jijini Arusha.
Pili tunapenda kuwakumbusha madiwani wa Chadema ya kwamba ilani inayotekelezwa kwa sasa ni ilani ya Chama Cha Mapinduzi kwani ndicho chama kilichopewa ridhaa na wananchi mpaka mwaka 2020.
Mbona unatetemeka ka umefumaniwa, tulia uandike points.
 
Habari kutoka group la WhatsApp la Ccm.
 
Umeshaacha kuposti vitu vya uongo hadi tuamini hii habari yako?
 
Arusha ni mji wa chadema. Itakuwaje itekeleze ilani ya ccm? Haiwezekani. Kikubwa ni kusikiliza madiwani waliotumwa na wananchi wanataka plan gani. Na hiyo iekelezwe. Mwisho wa siku hakuna anayejua huyo mnyama ilani. Kinachotakiwa ni huduma bora.
Kwahao hainajinsi lazima watekeleze ya ccm
 
C & P as received....
*Hali si hali Jiji la Arusha*
Hali ya mambo katika halmashauri ya Jiji la Arusha inaonekana kuwaendea vibaya madiwani wa chama cha demokrasia na maendeleo ambao ndio wengi katika baraza la madiwani.
Katika kikao cha Finance kilichofanyika katika ukumbi wa Jiji, vyanzo vyetu vya kuaminika vinatunyetisha kwamba madiwani hao wameendelea kulalamikia ubabe wa mkurugenzi wa Jiji la Arusha bwana Athumani Kihamia na mpaka kufikia hatua Meya wa Jiji hilo Kalisti Lazaro kufikia hatua ya kutishia kumwaga damu ili kufikisha ujumbe ya kwamba ilani yao ya Chadema inapuuzwa na mkurugenzi huyo na kila wanapompa maelekezo huyapuuza. Hii ni kufuatia sakata la maduka ya stendi ndogo yanayogombaniwa na wapangaji ambao inadaiwa ni wanachadema. Wanadaiwa kupokea rushwa toka kwa wapangaji kuvuruga utaratibu wa vikao ni diwani wa Levolosi Ndg Efatha Nanyaro na wa Ngarenaro Mhe. Doita pamoja na Naibu meya.
Sisi kama wapenda amani katika jiji hili tunaviomba vyombo vya ulinzi na usalama kufuatilia kauli kama hizi kwani zina viashiria vya uvunjifu wa amani hasa ukizingatia historia ya CHadema kuvuruga amani jijini Arusha.
Pili tunapenda kuwakumbusha madiwani wa Chadema ya kwamba ilani inayotekelezwa kwa sasa ni ilani ya Chama Cha Mapinduzi kwani ndicho chama kilichopewa ridhaa na wananchi mpaka mwaka 2020.
Kweli C & p
 
Back
Top Bottom