#COVID19 Hali niliyopitia baada ya kuchoma chanjo ya COVID-19

David Goliath

JF-Expert Member
May 16, 2018
327
500
Baada ya kuchomwa chanjo ya COVID-19 Jana mida ya saa5 asubuhi, ilipofika mida ya saa12 jioni nikaanza kujisikia vibaya yaani homa ilinivamia ghafla usiku mzima nilikuwa najisikia kichwa hakipo sawa macho yanauma, ila kwasasa najisikia fresh Niko salama hali iko shwari, je hiyo hali inatokana nanini?
 
Pablo Blanco

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
7,338
2,000

imekula kwako umekwenda na maji
 
Oxlade-Chamberlain

JF-Expert Member
May 26, 2009
8,587
2,000
Baada ya kuchomwa chanjo ya COVID-19 Jana mida ya saa5 asubuhi, ilipofika mida ya saa12 jioni nikaanza kujisikia vibaya yaani homa ilinivamia ghafla usiku mzima nilikuwa najisikia kichwa hakipo sawa macho yanauma, ila kwasasa najisikia fresh Niko salama hali iko shwari, je hiyo hali inatokana nanini?
Ni kawaida na walitakiwa kukupa maelezo ni dalili zipi za kawaida baada ya kuchoma na zipi ni hatari.

Mwili unajenga kinga ndio maana unapata noma.
 
Capt Tamar

JF-Expert Member
Dec 15, 2011
10,740
2,000
Sasa hivi inakuja chanjo ya h-i-v Ukimwi!! Hapo hatutamsikiliza nabii ngwajima wala polepole,tutapanga foleni tokea ngarenaro hadi ngaramtoni ya juu! Beberu anatucheki tuuu! Johnson&johnson, yaani kama hujui johnson na johnson bado ni johnson yuleyule!!
 
Watery

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
2,061
2,000
Baada ya kuchomwa chanjo ya COVID-19 Jana mida ya saa5 asubuhi, ilipofika mida ya saa12 jioni nikaanza kujisikia vibaya yaani homa ilinivamia ghafla usiku mzima nilikuwa najisikia kichwa hakipo sawa macho yanauma, ila kwasasa najisikia fresh Niko salama hali iko shwari, je hiyo hali inatokana nanini?
Hongera, chanjo yako haikuwa imeharbika, mwili wko ulishtuka baada ya kuchoma na kuwekewa hvyo vidudu
 
Mr. Miela

JF-Expert Member
Aug 2, 2007
729
1,000
Hiyo ni hali ya kawaida na ndio maana watu wengi wanashauriwa kutumia dawa za maumivu. Kizuri ni kwamba halo hii huisha baada ya muda mfupi
 
KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
18,412
2,000
Baada ya kuchomwa chanjo ya COVID-19 Jana mida ya saa5 asubuhi, ilipofika mida ya saa12 jioni nikaanza kujisikia vibaya yaani homa ilinivamia ghafla usiku mzima nilikuwa najisikia kichwa hakipo sawa macho yanauma, ila kwasasa najisikia fresh Niko salama hali iko shwari, je hiyo hali inatokana nanini?
Ulivyotest mitambo hali ilikuaje?
 
wakurochi

JF-Expert Member
Dec 4, 2017
2,525
2,000
Baada ya kuchomwa chanjo ya COVID-19 Jana mida ya saa5 asubuhi, ilipofika mida ya saa12 jioni nikaanza kujisikia vibaya yaani homa ilinivamia ghafla usiku mzima nilikuwa najisikia kichwa hakipo sawa macho yanauma, ila kwasasa najisikia fresh Niko salama hali iko shwari, je hiyo hali inatokana nanini?
Mi nimechoma tarehe 22Aug
Sijasikia wala kupata tatizo lolote achilia mbali ile kero ya kisikia unachomwa sindano.

Mpaka leo ni freeeeeshhhh tu.

Ila sija test mitambo nilisafiri na nimemkuta ana bleed sijajua kama mpini uko sawa au vipi
 
wakurochi

JF-Expert Member
Dec 4, 2017
2,525
2,000
Sasa hivi inakuja chanjo ya h-i-v Ukimwi!! Hapo hatutamsikiliza nabii ngwajima wala polepole,tutapanga foleni tokea ngarenaro hadi ngaramtoni ya juu! Beberu anatucheki tuuu! Johnson&johnson, yaani kama hujui johnson na johnson bado ni johnson yuleyule!!
Ha ha we acha tu, gwajiboy apinge ya hiv tena wakati ye bingwa wa kwichikwichi.
 
wakurochi

JF-Expert Member
Dec 4, 2017
2,525
2,000
Gwajiboy pumbafu sana barcode na serial number wenzetu walianza muda mrefu sana, sisi tulikuwa gizani sana
Tumeziju sana baada ya kuanza supermarket

bidhaa nyingi iliyopo supermarket ina barcode nyingine na serial number au vyote toka miaka kibao nyuma
Ndio maana huko majuu kama mwizi au jambazi akinunua kitu supermarket au sehemu wanayotoa risiti wanavyanzo vingi vya kumnyaka kuanzia cctv, risiti, na barcode na serial number.
Sio kitu kipya Bishop ahubiri biblia tu mambo mengine aache atajikuta anajamba hadharani.

Sema tu hii ni dose ya sindano kwenye chupa lazima iwe na serisl number na barcode.

Sasa bila hivyo hizo data za kusema milion 20 wamechanja wangezito wapi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom