Hali niliyoiona Moshi-Kilimanjaro inatisha muda huu

Nadhani mapambano kwetu sisi bado hayajaanza, nasikia Unguja kuna waziri mmoja aliporudi toka nje ya nchi aligoma kwenda "karantini" matokeo yake kaambukiza watu CORONA na bado yuko na uwaziri wake!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikia kuna baadhi wakenya wanapita njia za panya kuja kukaa huku sijui kama kuna ukweli
Wasalaam,

Leo nimebahatika kupita stand kuu pamoja na mitaa inayouzunguka Mji wa Moshi.

Aisee bado Watanzania hatujachukulia corona katika uzito wa juu! Kiukweli ugonjwa huu Kama upo mitaani Basi sambaa yake itakuwa mithili ya 5G.

Yani nimejionea watu stand wakiishi kana kwamba hakuna kinachochoendelea dhidi ya corona, nimejionea vijana wadogo wa shule wakinunua mahindi ovyo ovyo stand na kula , huku wateja wengine wakigusagusa hayo mahindi na kuyaacha pale na wengine wanakuja wananunua hayo hayo.

Saivi zoezi la kunawa mikono halitiliwi tena maanani, mji mzima nimewaona watu wawili tu wakiwa wamevalia viziba midomo.

Kwakwel kwa jinsi corona inavosambaa afu ukitizama na mienendo tuliyonayo mda huu, Basi utabakia kusema bado Mungu ameweka mkono wake juu ya Tanzania.

Huruma ya mungu sio kwenye covid 19 tu,mungu amekua akitulinda kila nyakati katika mazingira yoyote HAKUNA UWEZA WALA NGUVU ISIPOKUA KWAKE
 
Wasalaam,

Leo nimebahatika kupita stand kuu pamoja na mitaa inayouzunguka Mji wa Moshi.

Aisee bado Watanzania hatujachukulia corona katika uzito wa juu! Kiukweli ugonjwa huu Kama upo mitaani Basi sambaa yake itakuwa mithili ya 5G.

Yani nimejionea watu stand wakiishi kana kwamba hakuna kinachochoendelea dhidi ya corona, nimejionea vijana wadogo wa shule wakinunua mahindi ovyo ovyo stand na kula , huku wateja wengine wakigusagusa hayo mahindi na kuyaacha pale na wengine wanakuja wananunua hayo hayo.

Saivi zoezi la kunawa mikono halitiliwi tena maanani, mji mzima nimewaona watu wawili tu wakiwa wamevalia viziba midomo.

Kwakwel kwa jinsi corona inavosambaa afu ukitizama na mienendo tuliyonayo mda huu, Basi utabakia kusema bado Mungu ameweka mkono wake juu ya Tanzania.
Wanapoona namba inaongezeka Dar tu wanahisi wao wako salama. Habari mbaya ni kuwa tayari kesi za Kilimanjaro zimesharipotiwa. Kuanzia kesho watachukua tahadhari tu bila kupenda.
 
Huyo mgonjwa Hadi virusi vimeonekana ujue zimepita siku kadhaa... Je uko alikopitapita..? Hali ikoje?
 
Mi kweli. Maana hiyo sample ichukuliwe huko Klm isafirishwe mpaka Dar, which is a one day journey. Haya ukute maabara nako kulikuwa na sampuli nyingine kwenye foleni. Muda huo mgonjwa anaendelea na maisha kule huku akisubiri majibu yaje.
 
Back
Top Bottom