Hali ni tete Igunga suala la maji safi na salama

Mpekuzi Tanzania

JF-Expert Member
Mar 11, 2018
585
906
Wananchi wanataabika, Mbunge yupo busy kuhonga wajumbe kwa ajili ya uchaguzi mkuu.

IMG-20191105-WA0095.jpg
 
Wajinga sana endapo hawaruhusu democrasia watarajie uasi dhidi yao na familia zao. Naona si mbali vazi la kijani litapotea kabisaaa.Shetani hajawahi mshinda Mungu.
 
Ushauri wangu Igp aimarishe ulinzi kila vazi ,bendera ,ofisi watendaji familia zao ,makaazi wana ccm viongozi pawe na askari 24/7; Hii chuki iliyopandwa kwa sababu za kiburi cha madaraka italigarimu taifa letu. Mfumo wa democrasia ktk taifa letu ni itikadi na utamaduni ambao sehemu kubwa ya Watanzania wanauishi!
 
Hawa ndio wanaamini ktkt CCM, wamechagua kuwa maisha bora yana wenyewe wao hayawahusu, wacha waendelee kuangalia angani kushangilia na kuhesabu bombadier.
 
Hao wananchi hawajaamka bado,waite vyombo vya habari halafu waanze kumtaja taja bwn yule kila saa huku wakimsifia ni mzalendo no.1,Sgr,Elimu bure,vituo vya afya maelfu amejenga sijui nini.

Nakwambia atapigiwa simu mhusika wa maji apeleke mabomba huko igunga fasta na wkt wanasubiri maji yafike watapelekewa li drimulaina limejaa madumu/tank yenye maji ili kuwasaidia kipindi hiki wakiwa hawajapata huduma.
 
JK tusaidie kukemea mambo haya, kikinuka hata wewe hutokuwa salama, jamaa yako anajimwambafai sana mpaka anaudhi
 
Kumbe Igunga nako mnaisoma NAMBA, tajiri Rostam Azziz alikuwaga mbunge wa jimbo gani? Acheni kupiga kura kama hamna maji na huduma nyingine...
 
Tumeambiwa kuna mradi mkubwa wa maji toka ziwa viktoria, vuteni subra..
 
Back
Top Bottom