Hali ni mgumu jamani

Red Scorpion

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,737
4,252
Jamaa mmoja aliingia dukani na kumkuta muuza Duka kamtundika panya migu juu na kichwa chini ..ikabidi amuulize bro vip kwanin wamtesa huyo mdudu? Muuza duka akamjibu hana Adabu *mimi nauza pipi chocolate siagi na hata samaki lakin hajala hivo vyote kaenda kutafuna Daftar la madeni*
 
Hahaahaaaaa. Huyo ndio mangi bwana
 
Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom