Hali ni mbaya:: Nimepanda basi kutoka dar kwenda Arusha Abiria hatuzidi 20

mtotomtamuu

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
602
1,454
Hili jambo limenishtua kwa kweli, mpaka nimejiuliza huu ni mwezi wa saba au ni wa kumi na mbili
1480855791961.jpg
 
Tusubirie kidogo xmass ikikaribia labda mambo yanaweza yakawa kinyume..
 
Mbona bombardier zinajaa,ama ingia wewe mtandaoni kutafuta tiketi za ndege kwenda uchagani uone bei iko wapi!!
 
Msimu unafunguka tar.15 mjomba.... We ni mgeni na safari za kaskazini kwa misimu hii ya sikukuu??? Njoo tar.20 ubungo tukufurahishe.
 
Umekaririshwa hilo neno la hali mbaya, sasa ulitaka kisa wee umesafiri na kila mtu asafiri, au unadhan njia ni moja tu hamna usafiri mwengine Kajipange acha kulalamika
 
Back
Top Bottom