Hali ni mbaya:: Nimepanda basi kutoka dar kwenda Arusha Abiria hatuzidi 20


mtotomtamuu

mtotomtamuu

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2016
Messages
469
Likes
905
Points
180
Age
25
mtotomtamuu

mtotomtamuu

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2016
469 905 180
Hili jambo limenishtua kwa kweli, mpaka nimejiuliza huu ni mwezi wa saba au ni wa kumi na mbili
1480855791961-jpg.442642
 
The Boss

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Messages
37,824
Likes
23,237
Points
280
The Boss

The Boss

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2009
37,824 23,237 280
Interesting...
 
Gronkjaer

Gronkjaer

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Messages
295
Likes
111
Points
60
Gronkjaer

Gronkjaer

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2013
295 111 60
Hali ni mbaya sana........
 
Xplorer

Xplorer

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Messages
613
Likes
768
Points
180
Xplorer

Xplorer

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2015
613 768 180
Haya tunayoyaona sasa ndio maisha halisi ya Mtanzania,hali ni ngumu everybody know it,SO WHAAT?huu ndio wakati wa kushurutisha ubongo vizuri ili upate mkate otherwise tutaishia kulalamika tu.
 
Himawari

Himawari

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Messages
2,313
Likes
850
Points
280
Himawari

Himawari

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2008
2,313 850 280
Tusubirie kidogo xmass ikikaribia labda mambo yanaweza yakawa kinyume..
 
T

time theory

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2013
Messages
766
Likes
365
Points
80
T

time theory

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2013
766 365 80
Mbona bombardier zinajaa,ama ingia wewe mtandaoni kutafuta tiketi za ndege kwenda uchagani uone bei iko wapi!!
 
C

Chagga King

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2011
Messages
1,773
Likes
680
Points
280
C

Chagga King

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2011
1,773 680 280
mi sioni hata umuhimu wa kuanzisha uzi kuandika issue kama hii, suala la hali mbaya likoje kwani, mbona mi naona maisha ni yaleyale, we unataka kuwaaminisha watu wamekosa nauli ya kusafiri?
 
M

Mangi flani hivi

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2016
Messages
2,030
Likes
3,012
Points
280
Age
34
M

Mangi flani hivi

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2016
2,030 3,012 280
Msimu unafunguka tar.15 mjomba.... We ni mgeni na safari za kaskazini kwa misimu hii ya sikukuu??? Njoo tar.20 ubungo tukufurahishe.
 
Wi-Fi

Wi-Fi

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Messages
2,090
Likes
783
Points
280
Wi-Fi

Wi-Fi

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2011
2,090 783 280
Msimu unafunguka tar.15 mjomba.... We ni mgeni na safari za kaskazini kwa misimu hii ya sikukuu??? Njoo tar.20 ubungo tukufurahishe.
Atulie kwanza, mimi tar 22 (God willing) niko njiani..
 
City owl

City owl

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Messages
1,504
Likes
1,980
Points
280
City owl

City owl

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2014
1,504 1,980 280
Inategemea basi ulilopanda na muda unaosafiri
 
K

Kilemakyaaro

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2016
Messages
3,808
Likes
3,003
Points
280
Age
31
K

Kilemakyaaro

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2016
3,808 3,003 280
Umekaririshwa hilo neno la hali mbaya, sasa ulitaka kisa wee umesafiri na kila mtu asafiri, au unadhan njia ni moja tu hamna usafiri mwengine Kajipange acha kulalamika
 
don simon

don simon

Senior Member
Joined
Nov 24, 2016
Messages
173
Likes
84
Points
45
Age
25
don simon

don simon

Senior Member
Joined Nov 24, 2016
173 84 45
Inaonekana ulikuwa na muda mrefu haujasafiri eeeh
 
yokohama yokozuna

yokohama yokozuna

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2016
Messages
326
Likes
110
Points
60
Age
47
yokohama yokozuna

yokohama yokozuna

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2016
326 110 60
Uongo mbona mwanza zinajaa ?
 
MLAU

MLAU

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2007
Messages
4,699
Likes
3,269
Points
280
MLAU

MLAU

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2007
4,699 3,269 280
Hili jambo limenishtua kwa kweli, mpaka nimejiuliza huu ni mwezi wa saba au ni wa kumi na mbili View attachment 442642
Sema Gari ulilopanda lina abiria 20 sasa wewe umekazana tu hali ngumu hali ngumu.

Wakati basi za Kwanza,Bukoba,Songea,Mbeya zimejaa.

Tunaanzisha mada hazina kichwa wala miguu.
 

Forum statistics

Threads 1,273,117
Members 490,304
Posts 30,472,083