Lini ulitoka Mirembe 🤑?Tatizo watanzania tulizoea kuishi kiujanja ujanja Ndio maana tunaumia
Hivi professor mzima uzalendo unamshinda kabisa
Sijui unalalamika nini
Watanzania inatakiwa tufikie pahala tutangulize maslahi ya nchi kwanza
Professor unajua kabisa zaidi ya theluthi mbili ya mapato ya nchi inaenda kwenye mishahara
Hivi professor hauoni nchi ilivyopendeza?
Hauoni flyover?
Huoni Midege hewani?
Huoni mabarabara?
Huoni mashule?
Huoni vituovya afya?
Tupo Uchumi wa kati
Shule bure
Huduma za afya bure
Yaani Tanzania ya Magufuli neema tupu
Kuanzia Wafanyabiashara. Wafanyakazi hata Wakulima maisha ni bam bam isipokua wapiga dili Ndio wanaumia sana maana mianya ya wapiga dili imeziba kabisa
Sisi natembelea mavieiteeLini ulitoka Mirembe 🤑?
Sisi tunatembelea vieitee!!!Sijui MATAGA huwa vichwa vyenu vimejaa maji mpk kusoma na kuelewa inawawia vigumu. Mtoa mada si anaongelea wafanyakazi wa serikali na namna mshahara haujaongezeka kwa miaka mitano na gharama za maisha zimepanda?? Unataka mtu awe mzalendo na huku ana njaa?? Umesikia waaapi???? Nyie kwakua ni majobless basi wivu unawasumbua kweli mkisikia watu mishahara haiwatoshi mnaona kila mtu mpiga dili. Mtakufa na jaka moyo acheni husda.
Kuna vitu vya kuangalia na kujadiliwa kabla mishahara haijaongezwa:Anayeamini kupandisha mishahara ndio njia peke ya kuinua maisha ya mtumishi inabidi ajitathimini upya!
SERIKALI MSIPANDISHE MISHAHARA, IMARISHENI THAMANI YA SHILINGI YA TANZANIA! Tunatamani mtu ulienda bureau na SHILINGI za Tanzania 1000 upate angalau dola 2 za kimarekani!
Mihogo mbona chakula kizuri tu. Acheni kudharau chakula.Nimeshangaa kuona Profesa anakula mihogo si kwa sababu ya kupenda bali kwa sababu hana hela analia ukata.
Ni aibu sana nchi yenye hela za kulipa wabunge mihela yote hiyo lakini inalipa walimu wetu wa chuo kikuu peanuts
AmeeeeenTulikotoka ni mbali, Kama asingekuwa kikwete na Mkapa tusingefika hapa. Walituletea jini Sasa linanyonya damu ya kila mmoja. Hadi 2025 tutakuwa tumedhoofu bin Hali. Nola huenda akatunusuru kwa namna ya pekee