Hali ngumu: Village Supermarket tawi la Sea Cliff nayo yafungwa

Yaani Watanzania wanarudi kule kule, miaka ile ya kununua kila kitu Magengeni ...............!!
 
Yaani Watanzania wanarudi kule kule, miaka ile ya kununua kila kitu Magengeni ...............!!
bidhaa gani ya supermarket haipatikani kwa mangi mkuu.

labda nikuulize ni wangapi mpaka leo hii wanaweza kununua iphone 6+ kwa 1mil??

supermarket za bongo wamiliki wanakosa uchunguzi wa soko linasemaje,tz tuna kkoo ambayo inauza vitu vyote,unakwenda kufungua mall nawewe unajaza iphones wakati watu wanatafuta masimu,kibao ambayo hayapo kkoo nawewe huna.
 
Yaani Watanzania wanarudi kule kule, miaka ile ya kununua kila kitu Magengeni ...............!!
Huo ndio UHALISIA wetu watanzania wengi halisi. Ningestuka zaidi kama ingetokea soko kama kariakoo au kawe au mabibo au mwenge popote pale kufungwa. Watanzania wengi au wachache niseme walikua kwenye "bubbled economy" ikapelekea shoppingholic ambayo haikua halisi, hizo surplus income ambazo hazikuwekewa msingi imara ndio zilikua zinapelekwa kwenye super priced commodities katika supermarkets/uppermarkets....haukua uhalisia wetu, na ndio maana nyingi zime collapse. Ile false purchasing power iliyokua iko supported na bubble economy haipo tena.
Ni majira. That's our root, taratibu tutafika tu
 
Unamaanisha kariakoo watu bado wanafanya purchasing kama ilivokuwa awamu iliyopita?
Huo ndio UHALISIA wetu watanzania wengi halisi. Ningestuka zaidi kama ingetokea soko kama kariakoo au kawe au mabibo au mwenge popote pale kufungwa. Watanzania wengi au wachache niseme walikua kwenye "bubbled economy" ikapelekea shoppingholic ambayo haikua halisi, hizo surplus income ambazo hazikuwekewa msingi imara ndio zilikua zinapelekwa kwenye super priced commodities katika supermarkets/uppermarkets....haukua uhalisia wetu, na ndio maana nyingi zime collapse. Ile false purchasing power iliyokua iko supported na bubble economy haipo tena.
Ni majira. That's our root, taratibu tutafika tu
 
Msijali stigler's gorge itamaliza haya matatizo yooooote,tutauza umeme mpk US na kua super donor country.
Na ridaraja ra kokobichi na rile ri SGR. Watalii wakifika Chattle intaneshno eapoti kuangalia mafisi wakifanya uasherati, pato la taifa litapaa mara dufu nasi tutakuwa dona kantle...
 
Kwa Dar imebaki branch yao ya IST.

Ni siku chache baada ya kufungwa tawi la Mbezi Beach.

Soma pia:

Mkuu Mmetumwa na MABEBERU Kuichafua Awamu ya 5,Hao walikuwa Wapiga "DIRI" tu,Uchumi wetu unakuwa kwa kasi sana.
 
Purchasing power ya wananchi imeshuka na kodi na tozo mbalimbali ndiyo sababu kuu za kufungwa biashara nyingi.
 
Wazifunge tu kwanza sisi wananchi wakipato cha kati na chachin atuendagi cc tuna masoko yetu yakawaida na magenge yetu yawakina mangi na waha, alaf supermarket zenyewe siyo zawazawa ni zama kaburu.
 
Kwa Sasa naona Bora kila mwaka kuwe na uchaguzi.
Petrol imeshuka Tena Kama Bei ya zamani, 2300 kutoka 2550.
 
Back
Top Bottom