Hali ngumu kimaisha inavyochochea ubinafsi

Siri ya sifuri

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
2,014
1,498
Habari zetu wakuu?

Hali si hali huku kitaa kila Mtu na lake. Huwezi tena kumfahamu anaelipwa mshahara au anaepewa posho labda uwe unaijua ofisi yake, ila kwa huku kitaa hakuna tofauti ya wazi utakayoiona baina yetu

Kila mmoja wetu anajaribu kujionesha yupo kwenye hali mbaya, kipindi kigumu ili asijekuombwa msaada, Si ndugu si jamaa si rafiki wala si mwengine yeyote yule ambaye angeweza kukufaa pindi unapokwama anaeonesha utayari katika kipindi hiki.

Tumekua wabinafsi kupitiliza kuliko kipindi kingine chochote kile. Leo hii Mtu anafikiria kujibu hata Salaam!!kumjulia hali jamaa yako mpaka ujishauri Mara nyingi ukihofia majibu!!yaani kabla ya Salaam kwanza unafikiria majibu, vipi akinijibu hali mbaya nitawezaje kumsaidia!? Anaesalimiwa naye anafikiria"si bure anajambo huyu nikimjibu tu ataniripua; atanililia shida.

Kila Mtu sasa hivi anapigania nafsi yake, tunalazimishwa tusiaminiane kwa maana kikulacho kinguoni mwako, na kila Mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe. Tunaishi kwa tahadhari ya hali ya juu kiasi kwamba hata mshirika wako unamhofia!? Ni hatari kwakweli lakini tutafanyeje maana hali hii imeandaliwa haikutokea tu kwabahati mbaya, ndivyo Mheshimiwa anavyotaka.

Mwenye-ez-Mungu atuwezeshe tuyashinde majaribu haya na kisha turejee kwenye hali ya umoja na mshikamano. Amiin,Amiiin.
 
Badogo,
Nipende tu kuwatia moyo watz wenzangu yote yatapita tuendeleze utz wetu kama zilivopita zama za dhiki za Nyerere mambo ya kupanga foleni unapimiwa mahitaji ukikutwa na Colgate au sabuni ya kuogea nzuri au ukinywa bia zaidi utahesabiwa ni muhujumu uchumi na zikapita ndizo hata hizi zitapita.Hakuna tawala zidumuzo milele.

Japo furaha yao ni kutuona tukiwa dhoofu hali umasikini uliosababishwa ( kuisoma namba ) ili tutawaliwe vizuri huku tukibezwa eti tunaitwa wanyonge ( mnyonge is a futureless person) ukiitwa hili neno pigana ni tusi kwetu walipa kodi,huku tukibezwa ni wapiga dili hali wengine ni vibarua,ni wakulima,wavuvi sasa hizo dili tulizipigia wapi kama sio dhihaka ya mwenye shibe.

Namkubali sana Mahtma Gandhi baba wa taifa la India mbali na kuwa kiongozi wa kisiasa pia alikuwa kiongozi wa kiroho akiiishi maisha halisi ya watu wake.
 
Habari zetu wakuu?
Hali si hali huku kitaa kila Mtu na lake. Huwezi tena kumfahamu anaelipwa mshahara au anaepewa posho labda uwe unaijua ofisi yake, ila kwa huku kitaa hakuna tofauti ya wazi utakayoiona baina yetu

Kila mmoja wetu anajaribu kujionesha yupo kwenye hali mbaya, kipindi kigumu ili asijekuombwa msaada, Si ndugu si jamaa si rafiki wala si mwengine yeyote yule ambaye angeweza kukufaa pindi unapokwama anaeonesha utayari katika kipindi hiki.

Tumekua wabinafsi kupitiliza kuliko kipindi kingine chochote kile. Leo hii Mtu anafikiria kujibu hata Salaam!!kumjulia hali jamaa yako mpaka ujishauri Mara nyingi ukihofia majibu!!yaani kabla ya Salaam kwanza unafikiria majibu, vipi akinijibu hali mbaya nitawezaje kumsaidia!? Anaesalimiwa naye anafikiria"si bure anajambo huyu nikimjibu tu ataniripua; atanililia shida.

Kila Mtu sasa hivi anapigania nafsi yake, tunalazimishwa tusiaminiane kwa maana kikulacho kinguoni mwako, na kila Mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe.tunaishi kwa tahadhari ya hali ya juu kiasi kwamba hata mshirika wako unamhofia!? Ni hatari kwakweli lakini tutafanyeje maana hali hii imeandaliwa haikutokea tu kwabahati mbaya, ndivyo Mheshimiwa anavyotaka.

Baada kuona watu wanashindwa kulipa hata deni la 5000 nikaamini kweli Bongo nyoso yaani bongo balaaa
 
Ila mizinga imezidi sana. Yani hata mtu mwenye moyo wa kutoa unatoa mpaka unaona sasa mizinga ishakuwa kama fashion.

Sasa katika mwezi mmoja wanakufuata watu kumi kukupiga mizinga, tena si ya kitoto. Hapo hata kusaidia ukitaka unashindwa umsaidie nani nani uache kumsaidia.

Na lawama nampa Magufuli.

Hajawapa raia wake namna ya kuyakabili maisha. Hajaweka mazingira rafiki, kibaya zaidi yale mazingira waliyoanza kujenga wenzake, yeye anayabomoa.

Wengi wanaopiga mizinga si kama wanapenda, wengi wanapenda kujikimu wenyewe. Wachache ni wadangaji wa tabia.

Tatizo Magufuli kaangusha uchumi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio hivyo, mahututi tumeongezeka kwa kasi hivyo hata yule mwenye afya njema anaejaribu kutusaidia anaelemewa na kuamua kuigiza hali kama za kwetu.
Ila mizinga imezidi sana. Yani hata mtu mwenye moyo wa kutoa unatoa mpaka unaona sasa mizinga ishakuwa kama fashion.

Sasa katika mwezi mmoja wanakufuata watu kumi kukupiga mizinga, tena si ya kitoto. Hapo hata kusaidia ukitaka unashindwa umsaidie nani nani uache kumsaidia.

Na lawama nampa Magufuli.

Hajawapa raia wake namna ya kuyakabili maisha. Hajaweka mazingira rafiki, kibaya zaidi yale mazingira waliyoanza kujenga wenzake, yeye anayabomoa.

Wengi wanaopiga mizinga si kama wanapenda, wengi wanapenda kujikimu wenyewe. Wachache ni wadangaji wa tabia.

Tatizo Magufuli kaangusha uchumi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sasa hivi ukimkopesha mtu unaweza kuua urafiki.

Maana wengine wanashindwa hata kukusalimia kwa sababu ya pesa waliyokukopa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unachosema ni plain truth

Kuna manzi nilimpa tu senti kidogo. Nasikitika sana kwa sasa hatuna hata mawasiliano maana hata simu zangu hapokei wala sms zangu hajibu tena
 
Kwa sasa hivi ukimkopesha mtu unaweza kuua urafiki.

Maana wengine wanashindwa hata kukusalimia kwa sababu ya pesa waliyokukopa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa sasa tu?

Mbona iko hivyo siku zote tu.

Kama mtu ni nduguyo au rafikiyo, ukimkopesha hela, uwezekano wa kupoteza vyote ni mkubwa sana.

Unapoteza ndugu/ rafiki na pesa zako.

It’s a cold world.
 
Kiuchumi Magu katurudisha miaka 10 nyuma.

Hali ngumu tutabaki na madeni ya matrilion. Kwa miradi yasio na faida direct.

vijana ndo hao kila kukicha kujiua, vijana saivi asilimia 60% wanalelewa na wazazi.

Kuoa changamoto, kuolewa ndo hivyo tena

CCM haina muda wa kuishauri serekali kama kipindi Cha Kuna kinana wao wako bize na upinzani.

Magu akiendelea miaka 5 tena waTz tutakuwa kwenye hali mbaya sana labda abadilike na akubali kushauriwa. misaada ya nje saivi imezorota.

Sikuizi naona hazindui tena ile miradi ya kikwete aliyoiacha. SAIV Ni mwendo wa kupokea upinzani.

UBINAFSI WA SASA ASILIMIA 80 UMESABABISHWA NA VYUMA KUKAZA.
 
Bana Likasi umenigusa sana kwa andiko lako.
Badogo,
Nipende tu kuwatia moyo watz wenzangu yote yatapita tuendeleze utz wetu kama zilivopita zama za dhiki za Nyerere mambo ya kupanga foleni unapimiwa mahitaji ukikutwa na Colgate au sabuni ya kuogea nzuri au ukinywa bia zaidi utahesabiwa ni muhujumu uchumi na zikapita ndizo hata hizi zitapita.Hakuna tawala zidumuzo milele.

Japo furaha yao ni kutuona tukiwa dhoofu hali umasikini uliosababishwa ( kuisoma namba ) ili tutawaliwe vizuri huku tukibezwa eti tunaitwa wanyonge ( mnyonge is a futureless person) ukiitwa hili neno pigana ni tusi kwetu walipa kodi,huku tukibezwa ni wapiga dili hali wengine ni vibarua,ni wakulima,wavuvi sasa hizo dili tulizipigia wapi kama sio dhihaka ya mwenye shibe.

Namkubali sana Mahtma Gandhi baba wa taifa la India mbali na kuwa kiongozi wa kisiasa pia alikuwa kiongozi wa kiroho akiiishi maisha halisi ya watu wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom