Hali mbaya ya Njaa nchini: Mifugo inakufa, Mvua hakuna na Viongozi wanaogopa kusema!

Tuma picha yako maana nina uhakika hata wewe hapo ulipo ni njaa inakusumbua.huwezi kuongea ujinga kiasi hiki wakati masuala haya ni nyeti.
Acha kutoa majibu ya kibavicha dada,unapotoa habari ni lazima uambatanishe na picha au nyaraka ili kuipa nguvu habari yako.Lete picha za waliokufa kwa njaa au wagonjwa wanaougua shauri ya njaa,mnazua uongo mpaka mnajisahau
 
Magu ana matatizo ya malezi, kama unaweza kufurahia mwenzako kuwa kwenye shida basi hauna tofauti na mchawi. Serikali ina maghala ya kuhifadhia chakula kila kanda, lakini leo hii jinga linakwambia serikali haina mashamba. Bora life tu!!
 
Watu kufa hilo sijasikia, ila katika baadhi ya maeneo ya nchi yetu kuna ukame mkubwa na hilo mleta mada kutoa taarifa au tahadhari ni jambo jema hii ni kuangalia tuendako inaweza kutokea shida ya chakula, ni kama kuishtua serikali maana ni kweli maDC wanaogopa kulizungumza kwa uwazi sababu wameshaambiwa kuzungumzia njaa katika eneo lako la kazi ni kushindwa kazi, ila nasisitiza sijasikia mtu kufa kwa kukosa chakula.
 
ng'ombe wanakufa kwa kukosa majani ndo athari hzo kwa mfugaji anayetegemea mifugo ili kupata chakula
Ye anadhani unaposema chakula hakuna alidhani ni kwa binadamu tu,hiyo kk isikupe shida ni uelewa finyu tu,hajui hata mifugo na wanyama wa porini wanategemea maji na majani ktk maisha yao.
 
we una mawazo mafupi sana!
kifupi vyakula vilivyopo ni vile vya mwaka jana tena vya mwishomwisho, kwa hiyo, kwa kuwa mvua ilichelewa mazao yaliyolimwa ni kidogo na yamechelewa kwa hiyo kuna uwezekano yasipambe na kusababisha ukosefu wa hali ya juu wa chakula.

hili linatakiwa kutazamwa mapema.

Tatizo ni kwamba kwenye mitandao hata asiyeweza kufikiri anaona kuchangia mada ni sawa tu!
siyo lazima uchangie, unaweza kusoma post za watu ukapata akiri na busara humu jf
Ngoja Shule zifunguliwe Mkuu watapungua tu hao,vitoto vya form 2 hivyo mkuu
 
Hivi acheni UPUUUZI.....hivi hii hali ni mara ya kwanza kutokea nchini mwetu??????Aiseeh tatzo kila kitu mnageuza ni mambo ya kisiasa......
Kwa hivo hutaki watu wazungumze kwa sababu siyo mara ya kwanza,,,,,?,,,Lunacy of the highest class,,,,! F***k u,,,,!
 
Ukiona hali inaanza kubadilika kabla haijawa Mbaya uza hiyo mifugo si unasubiri hadi mifugo inakufa kwa njaa alafu uilalamikie serikali.Watu wafuge na kulima kisasa sasa.
 
Habari za muda Wadau,

Jana nilikuwa nafuatilia taarifa ya Habari Mkoani morogoro nilichokiona kwakweli hali si shwari.

Mifugo inaanguka kwa kukosa chakula, hali ya wakulima ni mbaya kuliko maelezo, nimejaribu kufuatilia Mikoa ya Tabora, Shinyanga , Dodoma , Singida , Manyara na Kilimanjaro mpaka sasa hakuna mvua.

Viongozi wa maeneo husika sijawasikia wakitoa tamko lolote na hali ya chakula ni mbaya sana katika maeneo hayo kuna njaa ya kutisha si kwa mkulima wala mfugaji.

Nilichokiona ni kwamba viongozi wanaogopa kusema kwamba kuna njaa katika maeneo yao kwa sababu Agizo lilishatolewa na Mh. Rais kwamba hakuna chakula cha misaada.

Sasa nilikuwa nashauri serikali ijaribu kufuatilia hali si shwari maeneo mengi nchini watu wanakufa kwa njaa Viongozi wanaogopa kusema.
Wewe si useme ni wapi huko watu na mifugo wanakufa njaa na idadi yao.Weka ushahidi.
 
Ukame unapoingia siyo kwamba Njaa inaanza wakati huohuo, athari zake ni baada ya msimu kuisha,
Njaa ipo. Mvua za vuli hazikunyesha sehemu kubwa ya nchi.
2016 sehemu kubwa ya nchi mvua hazikunyeha vizuri na kusababisha wakulima wengi kutopata chakula chakutosha.
 
Mkuu mimi siyo mwanasiasa. Nachokiongea hapa ndio uhalisia watu wanalazwa mahospitalini unadhani ni malaria kumbe mtu kafa kwa njaa. Mifugo haitazamiki imekonda kwa kukosa chakula. Sikulazimishi uamini mkuu unaweza kuacha kama ilivyo.
Mifugo inakosa chakula sababu ya ufugaji wa hovyovovyo usiona Mipango wala kujari uwezo na uwepo wa resources
 
Ukiona hali inaanza kubadilika kabla haijawa Mbaya uza hiyo mifugo si unasubiri hadi mifugo inakufa kwa njaa alafu uilalamikie serikali.Watu wafuge na kulima kisasa sasa.
Shule zikifunguliwa mawazo kama haya yatapungua.
Fuga na lima kisasa? Sijui unaelewa maana ya ulichosema?
 
Hivi acheni UPUUUZI.....hivi hii hali ni mara ya kwanza kutokea nchini mwetu??????Aiseeh tatzo kila kitu mnageuza ni mambo ya kisiasa......
Hali gani mkuu toa ufafanuzi kwanza kabla ya kufuka moshi, hali ya njaa na ukame au hali ya kuogopa kutoa taarifa za ukame na njaa.?maana kati ya hayo mawili kuna moja halijawahi kutokea nchini kwetu
 
Back
Top Bottom