tatizo unalalama mitandaoni tu,tumia elimu yako kujiongeza,usisubiri ajira,kwani unataaluma gani tukusaidieKivipi ili hali wengi tunalalama hali mbaya? Thibitisha
tatizo unalalama mitandaoni tu,tumia elimu yako kujiongeza,usisubiri ajira,kwani unataaluma gani tukusaidieKivipi ili hali wengi tunalalama hali mbaya? Thibitisha
Usilete siasa. katika uhalisia wake hivyo vitu havipo. Tunahitaji uhuru Zaidi ili watu wajinga kama wewe wanaosema vitu Fulani vipo wakati havipo saa nyingine tuwanyongeSio kweli kwamba wengi wanalaani hali mbaya. Wengi wanafurahia huduma za afya, elimu zilivyoboreshwa. Pia wanafurahia jinsi usafiri wa abiria na mizigo ulivyorahisishwa. Upatikanaji wa maji vijijini na mijini unawapa faraja akinamama wote. Nidhamu ya utumishi wa umma imeongeza tija na kukonga nyoyo za wananchi.
Maendeleo ni hatua. Tunaendelea vizuri.
Elimu gani zilizoboreshwa?elimu zilivyoboreshwa
Hivi uwa mnapata nguvu wapi kusifia eti elimu imeboreshwa? huwa siwaelewi.Sio kweli kwamba wengi wanalaani hali mbaya. Wengi wanafurahia huduma za afya, elimu zilivyoboreshwa. Pia wanafurahia jinsi usafiri wa abiria na mizigo ulivyorahisishwa. Upatikanaji wa maji vijijini na mijini unawapa faraja akinamama wote. Nidhamu ya utumishi wa umma imeongeza tija na kukonga nyoyo za wananchi.
Maendeleo ni hatua. Tunaendelea vizuri.
Huyu sio Mbowe na kundi la wanachama wake kweli.Endelea kuikumbatia CCM!View attachment 1591870
Serikali imejishindwa visingizio tuuuuMaendeleo hayaji bila jasho kuvuja.
Nchi inaelekea good direction.