Ndicho ulichobaki nacho tamathali za semiIga Tembo upasuke msamba!
Ndicho ulichobaki nacho tamathali za semiIga Tembo upasuke msamba!
Serikali inasisitiza na kuhamisisisha wananchi wote wahifadhi pesa benki ili hela iingie kwenye mzunguuko wa kiuchumi wakati yenyewe imefungia hela zake BOT, kama sababu ni Serikali kuepuka kujikopesha hela zake kutoka kwenye mabenki za kibiashara basi iziweke kwenye fixed deposit za mabenki ya kibiashara kwa faida, na iache kukopa kwenye mabenki ya biashara badala yake ikope kwenye mabenki na taasisi za kifedha za nje ya nchi, na iache kuuza bonds, tresurery bills, n.k. kwa benki za kibiashara za ndani ya nchi
Unaiga tu mradi kuiga badala ya kuangalia facts.Ndicho ulichobaki nacho tamathali za semi
tutajie hizo nchi na level yake kiuchumi,kuna nchi zina Bill Gates kadhaa,utalinganisha na hapa?Sasa kuna tatizo gani serikali kuhifadhi pesa yake.Niambie ni nchi gani serikali inaweka pesa zake katika benki za biashara.
Kwa Magufuli wote waliozoea vya kunyonga lazima walambe mchanga.
Hizo benki Warekebishe tu cash flows zao ikibidi hata kukopa benki za nje
Kwani ile band ya TOT inapigagaga muziki mtaani kama Twanga pepeta!? Isije ikawa na yenyewe imeeisha KUFA!?Sasa ni dhahiri nchi nzima tunaisoma number, hata aliyetuimbisha naye yumo
Ngoja niaze kutumia akiri na wewe,Tumieni Akili basi,
Kwani Bank zilianzishwa ili zitegemee pesa za Serikali kufanyia shughuli zake?
Yaan uanzishe Bank yako halafu utegemee Taasisi za Serikali zi-deposit fedha zake kwenye account ya Bank yako halafu wewe uzitumie hizo hizo pesa kukopesha hata serikali yenyewe! hii haikubaliki.
Bank zijifunze baada ya huu mpito kupita, wasiwe wanategemea kufanya biashara kwa fedha za serikali...
Kuna kiwango cha pesa za kuanzisha Bank, na kiwango cha pesa za kuweka kama dhamana katika Bank kuu ili kulinda amana za wateja, sasa kwa nini Bank ziyumbe? hii ina maana kuwa Bank zilikopesha sana makampuni na taasisi mbalimbali na viwanda mpaka ile mitaji yao ikapungua to the maximum na madeni walikuwa hawakusanyi kabisa, sasa JPM kawabana.
Wewe utakuwa ndiye usiyetumia hiyo unayowataka wenzako watumie, kuna mahali banks zimelalamika na kuitaja serikali kuwa ndio chanzo cha wao kuwa na liquidity challenge?Tumieni Akili basi,
Kwani Bank zilianzishwa ili zitegemee pesa za Serikali kufanyia shughuli zake?
Yaan uanzishe Bank yako halafu utegemee Taasisi za Serikali zi-deposit fedha zake kwenye account ya Bank yako halafu wewe uzitumie hizo hizo pesa kukopesha hata serikali yenyewe! hii haikubaliki.
Bank zijifunze baada ya huu mpito kupita, wasiwe wanategemea kufanya biashara kwa fedha za serikali...
Kuna kiwango cha pesa za kuanzisha Bank, na kiwango cha pesa za kuweka kama dhamana katika Bank kuu ili kulinda amana za wateja, sasa kwa nini Bank ziyumbe? hii ina maana kuwa Bank zilikopesha sana makampuni na taasisi mbalimbali na viwanda mpaka ile mitaji yao ikapungua to the maximum na madeni walikuwa hawakusanyi kabisa, sasa JPM kawabana.
Nimekuuliza nitajie nchi moja tu duniani inayoweka hela zake kwenye benki za biashara.Unaiga tu mradi kuiga badala ya kuangalia facts.
Yaaani watu wengine mkuu wanajifanya wanaakiri nyingi kumbe wana mapenzi yaliyo pitilizaWewe utakuwa ndiye usiyetumia hiyo unayowataka wenzako watumie, kuna mahali banks zimelalamika na kuitaja serikali kuwa ndio chanzo cha wao kuwa na liquidity challenge?
Nini kimeifanya serikali isianze kutoza riba? ukikuta nyani wanakula mahindi shambani mwako utafyeka mahindi au utatafuta namna ya kudhibiti nyani?Nimekuuliza nitajie nchi moja tu duniani inayoweka hela zake kwenye benki za biashara.
Hiyo biashara ungepewa hata wewe,usingeshindwa
Mfano benki J inakusanya bilioni 200,za serikali,inakaa nazo tu bila ya riba kwa siku 40 mpaka 60,humu wanazizungusha tu
Upewe bilioni 200 ukae nayo mwezi tu FD yake inakutoa maisha yako yote.
Kuna ubaya gani serikali kuhifadhi pesa yake benki kuu?
Yaani unaomba leseni ya kuendesha benki kwa kutegemea pesa ya serikali?
Tulieni tu,mwanzo mtaumia mageuzi yoyote yana maumivu mwanzo,
Huwezi kutegemea kukopesha kwa kutumia hela ya serikalitutajie hizo nchi na level yake kiuchumi,kuna nchi zina Bill Gates kadhaa,utalinganisha na hapa?
hapa uchumi wa nchi lazima serikali iweke mkono(mojawapo ni kuboost uwezo wa benki kukopesha)
wenzetu wametoka huko,japo kidogo.
makampuni ya madini ambayo yangeubeba uchumi na benki zetu yana akaunti wapi?yanahifadhi pesa wapi?makampuni ya gesi je?
endless list,na nani aliyaruhusu kutohifadhi benki hapa Tanzania?
Wazungu na kujifanya kwao kwooooote wana ubongo mnene, mpaka wa leo hawajagundua kuwa UNAFIKI ni aina ya SARATANIAlafu kuna watu wanaenda kumpongeza fulani huku wengine eti wakitamani awe wao!!
Sasa ni dhahiri nchi nzima tunaisoma number, hata aliyetuimbisha naye yumo
Tafuna noti yoyote uniambie imeandikwa ni ya nani vile!!!Tumieni Akili basi,