Hali mbaya: Usafiri ubungo msimu wa sikukuu wadorora

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,058


Abiria wamekuwa adimu msimu huu wa sikukuu tofauti na misimu mingine kwenye stendi ya mabasi ubungo na kuvuruga makadirio ya mapato waliokuwa wamejipangia kupata wamiliki na madereva wa mabasi hayo
 
Walifkiria uchungu wa jipu ni kwa watu wa maofisini tu, wamchague tena kipindi kijacho hali iendelee kwa miaka 10.

Safi sana.
 
nilifuatilia hii habari alihoji dereva wa Abood angeenda upande wa pili kuhoji magari ya mikoani hasa kanda ya ziwa na kanda ya kaskazini angejua
 
Back
Top Bottom