Hali mbaya: Nimemwona jamaa anatembeza chumvi kuuza

Dah wengine wanauza dawa ya mbu zile za kuunguza,basi ndio vile huwezi kuwasaidia unabaki kuhuzunika tu.

Kuna dada yeye alikuwa anauza mataa haya ya solar ya ndani,moja anauza elfu kumi,anaonekana ametembea umbali mrefu na watu hawanunii maana miguu ina vumbi na mdomo umekauka na utando mweupe,tukakutana akaanza kunipa sifa za kila taa,nikamsikiliza wee,mwisho nikamwambia kwakweli taa ninayo nyumbani ila elfu mbili hii utakunywa maji pole na kazi,akashukuru tukaachana.

Alichoniambia ni kwamba kwa wankabidhiwa mataa huko kwa boss wao,kisha wanaambiwa wakatembeze warudishe hamsini elfu kwa kila mtu.
Haya ndo maendeleo tuliyopigania uhuru?

Inasikitisha sana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenikumbusha kuna baba mmoja mtu mzima ukipanda basi toka mwanza kwenda shinyanga ukipapita misungwi kwa mbele anapanda yule baba ana ungo anauza pipi na jojo jamanii

Sent using Jamii Forums mobile app
Namfahamu huyo mzee wa makamo hivi na kazoeleka kwenye mabasi, yani ukimtazama anatakiwa awe anakula uzee katulia anavuna matunda ya jasho la ujana lakini ndo hvyo maisha sio mysha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenyeji wa mwanza wamesema ni vi-matunda.
Hutu hapo tu sungwii
Screenshot_2019-01-16-21-50-34.jpg


Sent from my SM-T230NU using JamiiForums mobile app
 
Mkuu comment yako imenisisimua sana ndio tujiulize critically thinking kwamba service ya ndege bilioni 6 inamsaidia nini huyo mama ..Na mind you huyo ni mmoja Kati ya wengi.....au uki buy airplane kwa cash ..how does it touch a mother with kids selling cashewnuts for just 100 per pact

Sent using Jamii Forums mobile app
kiongozi yani we acha tu, kuna watanzania wanaishi kwenye umaskini uliokithiri na watawala sidhani kama wanaguswa kihivyooo. INAUMA SANAAAAA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo tutambue mifumo mizuri iliyo inchi za wenzetu ktk nyanja mbalimbali za maisha ,mfano UK kazi ndogo tu ya kufanya mtaani unapata pound za kutosha tu tena kwa kila saa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HOJA YAKO HAINA MANTIKI :

MIMI BINAFSI NAIPUUZA

HAINA UTAFITI MAKINI KWA SABABU

WAUZA CHUMVI WAPO SIKU ZOTE .

HALI NI NZURI :

NENDA BAAA MAARUFU NDIPO UTAELEWA

Sent using Jamii Forums mobile app
U know nothing dude! Hamna future hapo. Ni kujaribu kujiangaisha, sababu ya hali mbaya na maisha magumu.

Kwa akili yako anapata bei gani na anatumia shilingi ngapi na anasevu shs ngapi. Kujiangaisha tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipo ighanuda huku nauza nyimbo ,movies,
Wimbo 1 Audio -200
Video-300
Movies:Series kipande100 kamani ya kihindi yenye dakika 18-21
Kikorea,kizungu zenye dakika 40 mpaka lisaa 200
Single movie-500

Na nina mpango wa kuwa bilionea

Nawashukuru wana ighanuda wananiweka kijijini
Mkuu inabid ujue biashara yako inategeme sana idadi kubwa ya wajinga, ili ubaki mjini pinga elimu kwa watanzania wakisanuka utakufa njaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu inabid ujue biashara yako inategeme sana idadi kubwa ya wajinga, ili ubaki mjini pinga elimu kwa watanzania wakisanuka utakufa njaa

Sent using Jamii Forums mobile app
siyo kweli bos, nina wateja/qahitaji huduma wengi from, bank workes, teachers,nurses,govt oficcials pia sifanyi kuuza movies 2 na simu pamoja na vifaa vyakee
ulijua moviea na nyimbo tu kaka hapana,,ila kupitia compputer tangu tarehe ya kwanza ya mwezi huu mpaka sasa nina 140 thousand , huoni faida hapo , kwa mwezi je??
 
siyo kweli bos, nina wateja/qahitaji huduma wengi from, bank workes, teachers,nurses,govt oficcials pia sifanyi kuuza movies 2 na simu pamoja na vifaa vyakee
ulijua moviea na nyimbo tu kaka hapana,,ila kupitia compputer tangu tarehe ya kwanza ya mwezi huu mpaka sasa nina 140 thousand , huoni faida hapo , kwa mwezi je??
Basi mkuu nyosha mkono juu na useme, Mungu nakushukuru kwa kila jambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unanisema mimi mkuu, chumvi, nyembe, viberiti na tambi za majiko zinalipa mkuu. Jaribu utasema ndiyo!
 
Back
Top Bottom