Hali mbaya Mwanza, maduka yafungwa kwa ukata

Mjomba , hivi unajua maana ya ukata ? Usiombe , ni noma !
Mkuu kasema kwa mita moja ya mraba,ina maana hapo ukiwa na ukubwa wa chumba kama bafu let say 6 meter square utalipia 6x25x2200 ambayo ni kama 330,000 sasa ukiwa na sehemu kubwa game utalipia sh ngapi? magorofa mengi ya dar mfano pale ushirika tower wanalipia dollar 14 per square meter
 
mkuu hizo bei watakuwa wamenukuu vibaya au?? jengo kama lile wapangishe kwa dolla 25 kwa mwezi amabayo sawa na Tshs 50,000 basi kama ni kweli nami ngoja niindelee kuongeza idadi ya vibubu nitunze hela zangu maana tunakoeleka kunaweza kuwa zaidi ya zimbabwe
Price is per square meter
 
Inasikitisha kuwa wachangiaji wengi kwenye mada hii wamekurupuka bila kusoma na kuielewa vyema. Wengi wamebaki kujadili wakidhani kuwa mtoa mada kakosea kumbe wao ndio hawakusoma vyema.
Mtoa mada Erithrocyte katika para 2, ameeleza bayana kuwa kodi inayotozwa ni kati ya dola 20 hadi 25 kwa sq meter kwa mwezi, sasa ubishi unatoka wapi? Rejeeni mwanzo wa mada mtagundua kasoro za usomaji mbaya au kudaka mada katikati na kuijadili bila kufahamu chimbuko lake.
Ila kwa kuchangia kodi hiyo kwa hali ya sasa ni kubwa.
Safi kabisa naungana nawe yaani ukisoma comment nyingine unajiuliza hv hyu kasoma hii mada na kuielewa au 20 to 25 usd kwa mita ss km duka lako lina mita 50 au 30 wanadhani utalipa hyo $20 au $25 nooo inabidi waielewe vzuri
 
mkuu hizo bei watakuwa wamenukuu vibaya au?? jengo kama lile wapangishe kwa dolla 25 kwa mwezi amabayo sawa na Tshs 50,000 basi kama ni kweli nami ngoja niindelee kuongeza idadi ya vibubu nitunze hela zangu maana tunakoeleka kunaweza kuwa zaidi ya zimbabwe
Hivi kwa mini hamsomi post mkaelewa kabla ya kukurupuka kujibu? Imetajwa mita moja ya mraba kwa bei
hiyo na siyo kwa chumba kizima. Ndani ya chumba kizima kunaweza kuwa na mita kadhaa za mraba. Mpo kama nyumbu vile kupenda hata visivyopendeka
 
mkuu hizo bei watakuwa wamenukuu vibaya au?? jengo kama lile wapangishe kwa dolla 25 kwa mwezi amabayo sawa na Tshs 50,000 basi kama ni kweli nami ngoja niindelee kuongeza idadi ya vibubu nitunze hela zangu maana tunakoeleka kunaweza kuwa zaidi ya zimbabwe
someni vizuri, au hamjui biashara ya upangishaji ikoje, amesema dola 25 kwa mita za mraba au square meter, unaangalia chumba kina mita mraba ngapi ndo unazidisha kwa dola 25.
 
Dola ngapi 20 hadi 25?Acha utani bana haiwezi kuwa hivyo.....!
kujibu kwa pupa shida sana, kama mtu hujui uliza, kama kidogo shule haikukuchenga nenda room kwako kapime kina ujazo wa mita mraba kiasi gani kisha zidisha kwa kwa hiyo dola 25 au 20. alafu uje hapa.
 
Yaani mfanyabiashara ashindwe kulipa dola 25 kwa mwezi?
ni kweli upeo wa mtanzania upo chini sana. imeandikwa kwamba bei ni dola 20-25 kwa square meter, lakini wabongo wanashindwa kuelewa hilo wanakimbilia kushusha utumbo
 
Back
Top Bottom