Hali mbaya: Makampuni ya simu yaanza kupunguza wafanyakazi. ITV yasogeza mishahara mbele

We are adding more jobless in the streets,,,,,,!!!
upload_2017-1-27_15-9-50.png
 
BORA HIYO RUZUKU INAYOPELEKWA VYAMA VYA SIASA WAPEWE WAMILKI WA VYOMBO VYA MEDIA. SIONI HAJA YA KUWAPA RUZUKU, VYAMA VYA SIASA TZ
 
Makampuni ya simu yalizoea kukwepa kodi,miamala na miito ya simu ilikuwa hailipiwi vat wala income tax.
Sasa imefungwa machine ukiingiza tu vocha serikali inapoata vat yake hapo hapo,na ukipiga simu ukikata tu mzigo unaingia serikalini.Hiyo pia haitoshi,wamejisajili soko la hisa,haiwezekani tena kupika hesabu.
Kwa Magufuli kila kitu kinawezekana
 
Namba bado hazisomeki vizuri maana bado kuna watu wana madaftari ya mwandiko
 
Hivi hawana email au namna nyingine za kuwasiliana hadi kwa matangazo ya jinsi hii? Haya mambo yako kwenye Halmashauri aiseee
Kule kuna wafanyakazi mpaka matanboi,email wapi na wapi?
 
Nimegundua kitu makampuni mengi yalikuwa yanakwepa kodi ndio maana leo yameanza kuyumba na kutaka kupunguza wafanyakazi
Honger our loved Mr prezdent J pm endelea kukaza uzi
 
Huo ni mtazamo wako, Ingawa nagundua una uvivu wa kufikiri au unakaririshwa.Mahospitali, Mabenki , Mitandao ya simu yote ilikuwa inakwepa kodi????? Mbona huoni kuwa awamu hii inategemea mapato ya ndani, wakati unaona mkuu amemaliza mwaka hajatoka nje ya nchi kwa wazungu. Tofauti na mzee wa msoga.
 
Sam mahela ataendelea kushona zile suti zake pale mwenge?

Jamaa anaongeaga kwa mbwembwe kumbe mfukoni hana chapaaa!!!
 
sasa hapo ajira zitaongezeka au zitapungua? uchumi wetu ni kweli unakua au ndio.............
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom