Pole lakin mmelipwaa eheeNi kweli mimi mwenyewe ni miongoni mwa waliopunguzwa.....
Pole mkuuNi kweli mimi mwenyewe ni miongoni mwa waliopunguzwa.....
Maandiko yanasema wapi? Acha uzushi..Poleni sana kwa mliopunguzwa!
Muombeni Mungu zaidi huenda kuna kubwa zaidi kawaaandalia kwani maandiko yanasema mlango mmoja wa neema ukifungwa hufunguliwa milango sabini ya neema.
Ujiulize hapo. Na eti Magufuli alaumiwe!Lakini how does a big company with profile fall to have a budget for a year ?
Kwahiyo haya maisha ya wananchi kulia njaa ndio maisha halisi tuliyozoea kuishi siyo?Naona hata hujui una comment nini.Soma mada husika kama ni kweli taarifa ni rasmi lakini sio unalau Serikali.
Hakuna anayemtesa mwanainchi ndani ya nchi ila unarudishwa kuishi maisha yako halisi na siyo ya kuigiza wakati hali yako haifanani na uhalisia.
Sasa ndiyo kila mmoja aishi kama alivyotakiwa kuishi na pesa IPO ukiitafuta utapata.hakuna mteremko
ITV wanatarajia kupata mapato yao kutoka kwenye matangazo, biashara huku uraiani hazifanyi vizuri, serikali imebana kila kona, kuanzia raia mmoja mmoja mpaka taasisi binafsi, unadhani hayo matangazo wanapata wapi?Kweli nchi yetu ilikuwa inaliwa na wachache, sasa haya makampuni kweli yalikuwa yanakua kivipi na pesa ya serikali yetu?
Ni keamba serikali imebana nao wanakumbwa, lazima kuna mteremsho walizoea kuupata na awamu hii yamewakuta.
Kuanzia kodi etc
Hata TRA ni hivi hiv
Ina maana kampuni hii haina reserve funds? Halafu matatizo ya mwajiri na wadeni wake yanamhusu vipi mfanyakazi? Je, hao wanaodaiwa na hii kampuni ni private sector pekee?
waikate Tu. Tuna hasira kaliwafanye vyoooooooooooooote ila UNIVERSITY PROMOTION OFFER SERVICE wainusuru!
Si kwamba uchumi wa nchi umeathirika .... hapana .... ni kwamba uchumi wa nchi UMEBADILIKA.
Hivyo njia kuu za uchumi zilizokuwepo kama hayo makampuni tajwa lazima yatetereke na kuathirika.
Kutaanzishwa njia kuu mpya za uchumi kuendana na MABADILIKO YA KIUCHUMI.
Kiufupi tunaachana na soko huria au economic liberilasation na kuanzisha MODEL mpya ya semi - state controlled economy. Hata Trump naye amefanya hivyo huko amerika. Maana yake ni kwamba utandawazi umeshindwa kutatua changamoto za dunia hivyo lazima kuwepo na mfumo mpya.
Hata mimi vodacom huwa wananitumia SMS kuwa usajiri wangu ni wa awali, nilishaenda kwa mawakala kama 2 hakuna muafaka hadi nikaenda mlimani city. Hadi Leo natumiwa SMS kuwa usajiri wangu ni wa awali. Nimechoka na ujinga wao nangojea wanifungie nihamie mitandao mingine. Hakika wameajiri mizigo acha tuu itumbuke hamna namna. Ni mbaya ukiwa nayo, heri waisome namba tuuInabidi wapunguzwe tu, nimekwenda kusajili laini yangu zaidi ya mara 5 na kila nikicheki kwa *106# naambiwa usajili haujakamilika, yaelekea wengine hawajui kazi zao!
Habari za sa'hizi mkuu..!Hata hiyo
waikate Tu. Tuna hasira kali