utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,812
Asiyefanya kazi na asile
Naona hata hujui una comment nini.Soma mada husika kama ni kweli taarifa ni rasmi lakini sio unalau Serikali.Nijiongeze kutoka wapi? Kuendelea kuwatesa wananchi kwa kisingizio kwamba kulikuwa na wapiga haitasaidia .ni mwaka sasa unakatika hao wapiga dili mmeshindwa kuwadhibiti? Njia ya muongo ni fupi sana.endeleeni
Ndio Mkuu uchumi unakua..Ndio uchumi unakua au..?
Jambo la kawaida watu kupunguzwa kazi?!...haupo serious wwJambo la kawaida.
itabid ujiajir sasa.. naskia hata voda ni hvyhvyNi kweli mimi mwenyewe ni miongoni mwa waliopunguzwa.....
Jambo la kawaida njooni kitaani sasa tuheshmiane.Jambo la kawaida watu kupunguzwa kazi?!...haupo serious ww
Kumbe huna kazi....sasa nmeelewaJambo la kawaida njooni kitaani sasa tuheshmiane.