Hali mbaya: Makampuni ya simu yaanza kupunguza wafanyakazi. ITV yasogeza mishahara mbele

Mnh hiyo barua ya airtel/iSON haina muhuri wala jina na designation title ya aliye andika tangazo.
 
Makampuni ya simu yalizoea kukwepa kodi,miamala na miito ya simu ilikuwa hailipiwi vat wala income tax.
Sasa imefungwa machine ukiingiza tu vocha serikali inapoata vat yake hapo hapo,na ukipiga simu ukikata tu mzigo unaingia serikalini.Hiyo pia haitoshi,wamejisajili soko la hisa,haiwezekani tena kupika hesabu.
Kwa Magufuli kila kitu kinawezekana
Una uhakika na unachokisema?
 
Huyu ni mmoja wa Watanzania wanaojinasibu kuwa na utajiri unaokadiriwa kufikia Bilioni mia tano hamsini za kitanzania, alafu leo tunaona kuwa kituo chake kinahaha kutafuta pesa ya kuwalipa watumishi mishahara.
Jamani, kwa utajiri huo hii pesa ya around milioni mia, bosi wao angefungua tu droo na kumuagiza dereva wake apeleke bahasha ya noti pale kituoni watu walipwe mshahara?
Athari za wanahabari kucheleweshewa msharaha kila mtu anazijua.
hawa waandishi wenye familia zao wataanza kuishi kwa kutegemea 'bahasha za khaki' na hapo usitegemee utapata habari zisizo na upendeleo... Mtu hujalipwa mshahara alafu kisha anakuja mwandishi kuchukua habari anaondoka na bhahasha ya khaki, unategemea atakuandika vibaya?
 
Ndio maana wewe bado ni masikini kwasababu hujui Biashara ni Biashara na wewe ni wewe. Mengi na ITV ni vitu viwili tofauti
 
Hao ni mamillionare kama Trump tu, maneno mengi wakati madeni yamezidi. Wanafahamu jinsi ya kucheza na system, lakini JPM kawazidi kete ndio sababu unaona wanahaha sasa.
 
sio kila kinachopostiwa hapa JF ni official.
hakuna kampun jinga inayotangaza shida zake publicly.take note.
 
Ndio maana wewe bado ni masikini kwasababu hujui Biashara ni Biashara na wewe ni wewe. Mengi na ITV ni vitu viwili tofauti

Ila tukiwa tunanasibishwa kuhusu yeye tunaambiwa utajiri wake ni pamoja na umiriki wa IPP media(mkurugenzi)....kama Itv wameshindwa jiendesha tungeambiwa kuna urasimu sio bilinea kukosa hela...Au ni mrimbwende wake keshaanza yake?
 
Ukiwa na biashara hutakiwi kutoa hela zako mfukoni uilipie wafanyakazi
 
Ila tukiwa tunanasibishwa kuhusu yeye tunaambiwa utajiri wake ni pamoja na umiriki wa IPP media(mkurugenzi)....kama Itv wameshindwa jiendesha tungeambiwa kuna urasimu sio bilinea kukosa hela...Au ni mrimbwende wake keshaanza yake?

Hivi mwaka huu 2017 mengi kafanya pati ya vilema diamond jubilee? Maana hali ya hela ilivyo Rwankomezi MTOCHORO Freyzem
 
Back
Top Bottom