Hali kama hii unaweza kumkubalia mkeo awe muigizaji?

-Mimi sioni tataizo kama mnaaminiana.Hivi kama mkeo anaweza kufanywa asusa kwa kuigiza tu,je ukifungwa jela ? au akienda kazini je?hakuna mazingira yanayoshabihiana na hayo yanayoweza kumfanya mkeo ku-cheat?
 
Hii ngumu kuvumilia maana anaona mpaka mavazi ya ndani na mapaja.
Tena inaonekana wanatoka kukimbizana, maana wana michanga miguuni, hivyo Kanumba aliona vizuri mambo yote ya ndani wakati anamkimbiza.
 
-Mimi sioni tataizo kama mnaaminiana.Hivi kama mkeo anaweza kufanywa asusa kwa kuigiza tu,je ukifungwa jela ? au akienda kazini je?hakuna mazingira yanayoshabihiana na hayo yanayoweza kumfanya mkeo ku-cheat?
Kazini ina maana wanakalina uchi na kulaliana kimahaba, si kila mtu na hamsini zake, hapa tunachoongelea ni mkao wao walivyo,( kwenye picha) je, mkeo akimkalia hivyo mwananume mwingine utakubali aendelee kuigiza?
 
Tena inaonekana wanatoka kukimbizana, maana wana michanga miguuni, hivyo Kanumba aliona vizuri mambo yote ya ndani wakati anamkimbiza.

Hata kama aliona si atakua amekula kwa macho tu? Ofcourse lazima uwe na wivu fulani,labda tuseme kwamba hurahi kutokana na sababu za kimaadili lakini kwamba ati anweza kumegwa bado naona utakuwa unampa uwezo ambao hajawahi hata kufikiria kuwa nao
 
vipato vingine ni vya laana wandugu. hapa kiukweli hakuna kuaminiana kama mnavyotaka tuamini. ndoa ya tyson na monalisa iko wapi? ndoa ya hale beri iko wapi? mahusiano ya mastaa wengi kila siku tunasikia yako kikaangoni. ukweli wa nafsi wanawake wengi waigizaji huangukia mapenzini na wale wanaoigiza nao. kama utavumilia hilo hapo sawa, ila si kuamini kuwa mkeo hafanyi kufuru nje ya mahusiano yenu. asilimia 90 ya mabinti wenye majina bongo wana kashfa nyingi za ngono. ukimruhusu mke/mume kufanya scene kama hizo is at your own risk!

Thats real Kingi.even ma self I wont accept dis types of rubbish.
 
Kazini ina maana wanakalina uchi na kulaliana kimahaba, si kila mtu na hamsini zake, hapa tunachoongelea ni mkao wao walivyo,( kwenye picha) je, mkeo akimkalia hivyo mwananume mwingine utakubali aendelee kuigiza?

Kazini kwani unadhani kazini ni kule ambako watu wanaenda official tu? kazi zinatofautiana
 
Naona kwa mtindo huu na fikra zetu bongo basi naona mazingira ya talaka yako nje nje
 
Hivi hao wanaoigiza ma hollywood mbona asilimia kubwa wameoa na kuolewa ...

Kumbe ndo maana mke wa Will Smith mama Posh huwa anapata mashaka sana mmewe akiwa anaanda picha ...kumbe anahisi jamaa anaweza aka- do kiukweli
 
arghhhhh..kwani nini cha ajabu hapo??....acha wivu kwa mkeo kaka...kazi hiyo inaleta kipato cha familia....

NI MAONI TU WADAU ILA YAMEJAA MTAZAMO WA KUWAWEZESHA WANAWAKE WASIENDELEE KUWA JINSIA TEGEMEZI[/QUOTE]
Nakubaliana na wewe, ni issue ya kijinsia hii. Hapo kuna ma-director, wapiga picha, na waigizaji kibao. Hata feelings hapo sijui kama zinakuwpo. Sasa kama mkeo anafanya kazi ya kusafiri, say kwa mwezi mzima. Pengine na kundi au kijana mwingine(Manake hapo hata na privacy inakuwepo)?.Na je kwa wanaume ambo kazi zao ni za kusafiri? Nao tuwakatalie au kuwabadili kazi?
 
Watu kwa wivu ,mweh! Ukiona mkeo ana uwezo wa kugawa penzi nje kutokana na mazingira tu basi ujue huyo si wako bali ni community lady

Unaweza kuwa makini sana pamoja na wivu woote lakini ukajikuta at the end of the day mnaongelea mambo ya coalition governments.Na ukizingatia jinsi si waaafrika tunavyopenda kugawana madaraka tena,muulize Koffi Annan au Mbeki
 
arghhhhh..kwani nini cha ajabu hapo??....acha wivu kwa mkeo kaka...kazi hiyo inaleta kipato cha familia....QUOTE]

Kweli you don't care, kama ni kipato na tukikose. Mbona kuna kazi nyingi tu za kufanya bila kujidhalilisha na familia yako

Asume mtoto nae anamwona mama kwenye luninga nusu uchi kalalia dume....Nasema No.
 
Kuna movie iliyochezwa na Ray akiwa amevunjika miguu yote kwa ajali, halafu mkewe akawa anamleta mwanaume ndani akiwepo, wanafunga chumba na kufanya mambo...! Je, nina uhakika gani kuwa sio kweli? Kacheki hiyo movie halafu utoe commend. Kwanza nikimuoa msanii, nampiga stop mara moja. Kwaya tu sikubali, sembuse uigizaji, Thubutu...! Kama ni wivu sawa....

hapo kwa redi(nyekundu) mkuu nakupa 100 asilimia i mean 200% maana ndo kwanza hata maana kamili ya kwaya huwa inaachwa na kufanya makubwa..ni hoja tu maana kuendelea mie siwezi ila wajuvi watamwaga zaidi..
 
Watu kwa wivu ,mweh! Ukiona mkeo ana uwezo wa kugawa penzi nje kutokana na mazingira tu basi ujue huyo si wako bali ni community lady

Unaweza kuwa makini sana pamoja na wivu woote lakini ukajikuta at the end of the day mnaongelea mambo ya coalition governments.Na ukizingatia jinsi si waaafrika tunavyopenda kugawana madaraka tena,muulize Koffi Annan au Mbeki

Binadamu wote wana feeling. Mkiigiza mapenzi to that extent mara mbili, na pengine hayo mazingira nyumbani hamna nafasi ya michezo kiasi hicho uwezekano wa kufika mbali upo hata kwa huyo mwanaume.

Kazi nyingine hazihusu kulaliana na kubebana kimapenzi hata kama ni kuigiza.
 
hapo kwa redi(nyekundu) mkuu nakupa 100 asilimia i mean 200% maana ndo kwanza hata maana kamili ya kwaya huwa inaachwa na kufanya makubwa..ni hoja tu maana kuendelea mie siwezi ila wajuvi watamwaga zaidi..

Mkuu hata mke wangu akiwa karibu sana na mchungaji, mwinjilisti, katekista,.....nk, sikubali. Atabaki tu kuwa muumini, lakini sio mwanakwaya, halafu eti muigizaji...! Lol! Haiwezekani kabisa...!
 
HEBU ONA NA HII ,HAPO WEWE UKO CYPRUS UNAGONGA KANDANDA..
DSC00797.JPG

DSC00805.JPG

DSC00723.JPG

UTAMRUHUSU!
 
arghhhhh..kwani nini cha ajabu hapo??....acha wivu kwa mkeo kaka...kazi hiyo inaleta kipato cha familia....

NI MAONI TU WADAU ILA YAMEJAA MTAZAMO WA KUWAWEZESHA WANAWAKE WASIENDELEE KUWA JINSIA TEGEMEZI
Mkuu hata kama "you dont care", lakini hiyo hapana , maadili mkuu! si unajua hiyo picha itakuja onwa na watoto nyumbani, halafu watoto wanajifunza kitu gani kwa mama? kama mama anakaa hivyo utalea watoto wa aina gani?
 
Back
Top Bottom