Hali kama hii itaweza kufika bongo miaka ijayo ya bunge ninatabiri mimi....... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hali kama hii itaweza kufika bongo miaka ijayo ya bunge ninatabiri mimi.......

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Jul 11, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  [TABLE="width: 491"]
  <tbody>[TR]
  [TD="colspan: 3"]VIDEO - Mwanasiasa Atoa Bunduki Baada ya Kuzidiwa na Maswali[/TD]
  [/TR]
  [TR="bgcolor: #E1E1E1"]
  [TD][​IMG]
  Mbunge wa Jordan alitoa bastola baada ya kuzidiwa na maswali[/TD]
  [TD]
  Baada ya kuzidiwa na maswali kwenye kipindi cha televisheni LIVE, mbunge wa bunge la Jordan kwanza alivua kiatu na kumtandika mpinzani wake kabla ya kutoa bastola yake na kutishia kumpiga risasi jamaa aliyekuwa akimbana sana kwa maswali.[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"]Mbunge wa bunge la nchini Jordan alishindwa kuvumilia maswali ya mpinzani wake na kuamua kutoa bunduki kwenye kipindi cha televisheni kilichokuwa kikirushwa LIVE na televisheni ya Jordan.

  Mbunge huyo aliyetajwa kwa jina la Mohammed Shawabka alikuwa kwenye kipindi cha mjadala wa mambo ya kisiasa kilichokuwa kikirushwa LIVE na televisheni ya Jordan.

  Mjadala huo ulipamba moto pale mbunge huyo alipotupiwa maneno na mwanaharakati wa masuala ya kisiasa, Mansour Sayf al-Din Murad akituhumiwa kuchakachua uchumi wa Jordan huku mbunge huyo pia akimtuhumu mwanaharakati huyo kuwa ni jasusi wa Israel.

  Mbunge huyo baada ya kuzidiwa na maswali ya mwanaharakati huyo alianza kumrushia maneno makali.

  Haikuchukua muda mrefu, mbunge huyo aliinama chini na kuvua kiatu chake na kumrushia Mansour ambaye alifanikiwa kukikwepa kwa kubonyea chini.

  Mbunge huyo aliona haitoshi ndipo alipoamua kutoa bastola yake ndogo na kutishia kumpiga risasi mwanaharakati huyo.

  Ugomvi huo ulizidi kuwa mkubwa lakini pamoja na harakati za muandaaji wa kipindi hicho kujaribu kusuluhisha, ugomvi huo uliendelea na kupelekea kipindi hicho kukatwa.

  Mwisho wa ugomvi mbunge huyo hakuitumia bastola yake.

  [/TD]
  [/TR]
  </tbody>[/TABLE]


  VIDEO - Mwanasiasa Atoa Bunduki Baada ya Kuzidiwa na Maswali

  Wallah Nabaa Ushungu badala ya kutoa Jamvia kaamuwa isiwe tabu katoa Pistol kasheshe kweli Mambo ya bungeni.......
   
 2. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2012
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,001
  Trophy Points: 280
  Tanzania yameshafika hayo, Pale Igunga kila siku tulikua tunasikia risasi zinarindima kutoka kwa wana kampeni wa CCM , na mwisho wa Yote Rage akapanda nayo na akaiweka adharani, sasa unafiri wangemuuzi ingekuwaje? umesahau ya Bro Dito
   
 3. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  huko ndiko ccm wanakoelekea kwani kwa hoja wamezidiwa
   
Loading...