Hali kama hii itakwisha lini mijini?ni aibu kwa nchi yetu jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hali kama hii itakwisha lini mijini?ni aibu kwa nchi yetu jamani

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Apr 17, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,229
  Likes Received: 4,020
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Takataka zikionekana katika moja ya makutano ya barabara ya Nyerere na Mtaa wa Chagga mjini Moshi. Mitaro na mifereji mingi mjini humo imekuwa michafu na kutoa harufu mbaya. (PICHA: SALOME KITOMARY
   
 2. sister

  sister JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 8,711
  Likes Received: 3,320
  Trophy Points: 280
  mpaka Yesu atakaporudi.
   
 3. Kinyerezi

  Kinyerezi JF-Expert Member

  #3
  Apr 17, 2012
  Joined: Jan 28, 2009
  Messages: 372
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  :embarrassed1:Aisee Mangi, na hapa tunaambiwa ndiyo mojawapo ya miji misafi kuliko hapa Tanzania:disapointed:
   
 4. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #4
  Apr 17, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,666
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Apo chacha.... sijui michafu ikoje....
   
 5. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #5
  Apr 17, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,898
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  miaka hamsini ya uhuru.
  kuna uchafu umekamata madaraka ukiondolewa na huu wa mtaani utaondoka kirahisi tu.
   
 6. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #6
  Apr 17, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,846
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Wewe watafuta matatizo na wenye mji...
   
 7. Wa Nyumbani

  Wa Nyumbani JF-Expert Member

  #7
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 424
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Meya akipenda
   
 8. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #8
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Manispaa ya Moshi inasifiwa sana kwa usafi. Imekuwaje tena? Au viongozi wa Manispaa wa sasa wamelewa mafanikio!
   
 9. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #9
  Apr 17, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,275
  Likes Received: 353
  Trophy Points: 180
  Hao si ndo naambiwa wanapiga watu fine ya 50,000tshs ata kwa kutema mate!
  Naona hapo kuna haja ya kuwapiga fine kwanza manispaa alafu idara ya maji taka kwa kuacha trench wazi
   
 10. D

  Don Calvino Senior Member

  #10
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 3, 2012
  Messages: 115
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nilisikiaga Moshi ndio mji msafi East Africa? Au wageni wa karibu wamechafua?
   
 11. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #11
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,491
  Likes Received: 466
  Trophy Points: 180
  Mbona huyo jamaa amekaa tu hapo?... kwanini asisafishe mazingira yake?
   
 12. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #12
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,229
  Likes Received: 4,020
  Trophy Points: 280
  Mkuu@kobello akiamuwa kusafisha je wale wafanyakazi wa mji wako wapi?
   
 13. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #13
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,491
  Likes Received: 466
  Trophy Points: 180
  Wafanyakazi wa mji? sijawahi kuona wafanyakazi wa mji wakisafisha pavements, this is too much dependency!!!
  Geez!!!
   
 14. mgeni10

  mgeni10 JF-Expert Member

  #14
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,109
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hilo ni tatizo kubwa kwa nchi yetu

  Watu wanadhani ustarabu ni kuvaa nguo nzuri tuuuuuuuuu

  Kumbe Matendo ya mtu ndio yanaonyesha ustarabu wake
   
 15. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #15
  Apr 29, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 10,538
  Likes Received: 6,515
  Trophy Points: 280
  Hivi mnataka kila kitu serikali tu. Anayekaa hapo anatakiwa kusafisha. huu ni ujinga kukaa kwenye uchafu na unategemea serikali wakusafishie ebo. Safisha mazingira yako.
   
 16. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #16
  Apr 29, 2012
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  sidhani kama itakaa iishe labda wakoloni warudi kutunyuka viboko sisi raia pamoja na viongozi wetu.
   
Loading...