Hali ishakuwa mbaya, msaada wenu ndugu zangu

fredj2

JF-Expert Member
Oct 18, 2013
235
93
Nimeanzisha biashara nimepata hasara kubwa sana.Sasa nipo kwenye mawazo mazito ya kutafuta kibarua chochote.niweze kuendesha maisha kwa yeyote anaeweza kunipatia au kunipa njia ya kupata kibarua ntamshukuru sana.
elimu kidato cha nne.
Umri wangu ni miaka 27.
Naishi Dar es Salaam.
Mungu awabariki kwa watakaoguswa na hili.
no. zangu ni 0714643241
au ni Pm
ahsanteni.
 
Unapozungumzia mjasiriamali ni risk taker yaani yupo tayari kwa faida na hasara kwahyo hapa ni kipindi cha mpito tu chakufanya,inuka jipange upya.
NB:Biashara inalipa kama ukikomaa na kazi ni utumwa wa kusubiria hela moja mwisho wa mwezi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom