Hali inazidi kuwa ngumu. Wanaume wa Dar es salaam na Pemba wanabamandwa na Wanawake zao

Bill Lugano

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
1,186
6,398
Hii ni report ya kutoka tume ya haki za binadamu. Anasema dr kijo bisimba. Watu wa jinsia ya kiume mliopo dar na pemba.achaneni na kutafuta unga wa kongo na kudhani uanaume ni kuhonga tu. Mnapigwaje na wake zenu?

Msikilize mama kijo bisimba akisema ripoti ya tume ya haki za binadamu inasema wanaume wa dar na pemba wanabamandwa ( wanapigwa) na wake zao.
 
Attachments

  • VID-20181114-WA0018.mp4
    1.2 MB · Views: 16
Hii ni report ya kutoka tume ya haki za binadamu. Anasema dr kijo bisimba. Watu wa jinsia ya kiume mliopo dar na pemba.achaneni na kutafuta unga wa kongo na kudhani uanaume ni kuhonga tu. Mnapigwaje na wake zenu?

Msikilize mama kijo bisimba akisema ripoti ya tume ya haki za binadamu inasema wanaume wa dar na pemba wanabamandwa ( wanapigwa) na wake zao.
Una taka kusema wanaume wa pemba na dar wana elekea kuzidiwa nguvu adi na wanaume wa mombasa
naijatwittersavages-20181113-0002.jpeg
 
Kama hawajitambui na kutojua wajibu wao kwanini wasibamandwe? Watakula.sana mabanzi mpaka vichwa vyao vikae sawa
 
Sijui kwa nini najionaga nauwezo wa kupiga wanawake wote hapa duniani.

I mean najiona nauwezo kupigana hata na sinsia rocky,hata wale madada wa mieleka na wasinipige.WAKURYA BUANA.
 
Kwa hiyo nawe unampiga mumeo? Daaah... Sasa tunaenda wapi jaman na dunia hii... Wanaume wanakosa nguvu za kiume, wanakosa nguvu za uume, wanakosa kila kitu.

Kama hawajitambui na kutojua wajibu wao kwanini wasibamandwe? Watakula.sana mabanzi mpaka vichwa vyao vikae sawa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom