Hali inatisha Dar: Mashoga watapakaa kila kona ya jiji

Kajeba

JF-Expert Member
Oct 15, 2020
820
1,961
Igweeeeeeee

Hali ilivyo ndani ya jiji la Dar es Salaam ni hatari, mashoga wamejaa kila kona ya jiji hili la kibiashara Tanzania hivyo ndivyo ninaweza kusema

Sababu ni nini wanaume wa kiswahili wengi hususani Dar es salaam kujihusisha na ushoga?

Ukitembelea night clubs nyingi za jiji hili mashoga yamejaa
Ukitembelea center ambazo biashara ya ukahaba inafanyika mashoga yamejaa

Si usiku si mchana, mashoga yanajionesha wazi wazi kabisa na jamii imekaa kimya
Kwenye daladala pia mashoga nayo yanapanda tena unaweza jikuta umekaa nalo siti mona

Ni sababu zipi hasa zinachangia wanaume haswa tena walioexperience maumivu ya kukatwa govi kujihusisha na kupakuliwa?

Mwanaume kamili, unapata ujasili wapi kumwingilia mwanaume mwenzio?

Mwanaume lijali, dushe linasimamaje pasipo kuona mbususu?
 
Hili jambo linatakiwa utafiti wa kitaalamu,itafutwe root cause ya hawa watu kuamua kua hivyo,

-Je ni utandawazi?
-Je ni hizi dawa zinazotumiwa huenda kuna watu kwa makusudi huchanganya na vitu wanavyovijua wao?
-Je ni vyakula vinavyotoka nje?
-Kuna katuni wanazoangalia watoto huchanganywa na issue kama hizi,tuwe makini kwa hizi katuni wanazotizama watoto,

Hili jambo linahitaji nguvu ya pamoja na mikakati kama taifa kabla mambo hayajaharibika zaidi,

Viongozi wa dini nao pia wanayo nafasi ya kutoa elimu juu ya hii laana.
 
Shoga endelea kuutetea kwa nguvu zote
Imeandikwa club nyingi, zote umeipata wapi
Jamiiforums haipiti siku bila kuleta nyuzi za mashoga.
Kwanini mnapromoti sana ushoga?

Mashoga wanaleta nyuzi humu kujifanya wanasikitika kumbe wapo sokoni.

Eti nimezunguka clubs zote Dar nimeona mashoga wamejaa! Huu ni uongo usio na kichwa wala miguu .
 
Kwa bahati mbaya sina picha
Nimechukizwa sana na hao viumbe, nimekatisha mitaa ya hapa external mida hii nayaona yanavuka barabara
Ungeweka na picha ingependeza. Maana sisi wengine hatujawahi kuwajua wanafananaje sura zao!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom