Hali ilivyokuwa katika Jiji la Dar wakati vijana CHADEMA wakimchukulia fomu Mbowe

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,534
13,225
Ni nderemo. Ndivyo tunavyoweza kusema wakati makundi ya vijana yalivyofurika makao makuu ya CHADEMA kumchukulia fomu Mwenyekiti anayemaliza muda waje Freeman Mbowe ili agombee tena nafasi hiyo.

Mratibu wa zoezi la kuchangia kumchukulia fomu Mbowe Bwana Daniel Naftali Ngogo amesema pesa zimetumwa nyingi kupita kiasi na lengo la shilingi milioni 1 limevuka kwa mbali.Mpaka leo kabla ya kuchukua fomu zimechangwa shilingi milioni 5 na laki 6 Taslimu.Ngogo amesema katika orodha ya michango kiasi cha chini kilichotumwa ni shilingi 150 na kiwango cha juu ni shilingi laki 2

Tazama video chini jinsi ilivyokuwa


 

Attachments

  • VID-20191125-WA0076.mp4
    4.6 MB
  • IMG-20191125-WA0079.jpg
    IMG-20191125-WA0079.jpg
    94 KB · Views: 2
  • David-Chiduo.mp4
    3.6 MB
Kama vijana wamejitokeza kumuchukulia fomu ya kuendelea kutetea nafasi yake ya uenyekiti wa chama Mr mbowe. Basi tusilaumu hata kidogo kundi la Watanzani wanyonge wakiingia barabarani 2025 kumushinikiza Rais Magufuli Aendelee kutetea kiti chake Cha urais...
Hayo hataihusu Chadema
 
Back
Top Bottom