Hali ilivyo Ughaibuni kwa sasa

rmashauri

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
3,011
454
Hivi ndivyo mandhari ya ughaibuni yanavyoonekana kwa sasa.
 

Attachments

  • Image000.jpg
    Image000.jpg
    173.5 KB · Views: 388
  • Image001.jpg
    Image001.jpg
    186.5 KB · Views: 192
  • Image002.jpg
    Image002.jpg
    200.8 KB · Views: 169
  • Image003.jpg
    Image003.jpg
    239.2 KB · Views: 154
  • Image005.jpg
    Image005.jpg
    140.6 KB · Views: 154
pazuri saaaaana! palivyopendeza jameni!!! ila sipaoni!
 
Duh hii ni kali ni wapi huku kwenye snow kali mpaka leo? Uswiss au? Manake sehemu nyingi zimetulia ungawa baridi kali bado ipo
 
Mna matatizo gani huko majuu?
Mbingu zimedondoka?
Hali hiyo naiona tu kwenye friji yangu inapokuwa nzima na umeme haujakatika!!!!
 
Mna matatizo gani huko majuu?
Mbingu zimedondoka?
Hali hiyo naiona tu kwenye friji yangu inapokuwa nzima na umeme haujakatika!!!!

Kila Winter likifika ndo hali inavyokuwa mkuu. Sasa ni Winter na hali iko hivi pia.
 
Back
Top Bottom