Hali ilikuwa tete!!!!!

Emanuel Makofia

JF-Expert Member
Jan 5, 2010
3,832
630
hali ilikuwa tete nungwi
mungu awatie nguvu!

spice.jpg


spice 2.jpg
 
Majasiri sana hawa....wenzangu na mimi tukipanda boti tu kwenda zenji huwa tabu kwa jinsi inavyoyumba seuze kukaa kwenye hayo magodoro! Mungu mkubwa...kama sio siku haijafika, haijafika tu!
 
Pumbavu zenu, badala ya kusaidia, nyie mnapiga tu picha mkiwa kwenye ndege, nyambafu.
Idiot! ungeona wapi hali halisi ya ajali km hakuna vidhibiti vya kuelezea ukubwa wa tatizo ili hatua muafaka zichukuliwe!!!!!
 
Hivi kwa nini vyombo vya majini visafiri usiku? ingekuwa mchana wasingekufa wengi kiasi hiki hata mtu mwenyewe kwa juhudi zako ukiona wapi uelekeee wawezapona nafiri tubadirike!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom