Hali ikoje majimboni, je watarudi wale wale ?

Ndege Tausi

JF-Expert Member
Nov 12, 2013
992
472
Hebu leteni mrejesho hapa, je bado unamkubali mbunge wa jimbo lako au ungependa apumzike na kwanini?
 
Kambi ya upinzani itaundwa na NCCR ikiwa na wabunge wasiopungua 20,...kafu itakuwa na wabunge wasiozid 7.....chadema itakuwa na wabunge wasiozid 2...Act itakua na mbunge 1.
 
Back
Top Bottom